Sasa purchasing power ya mwananchi wa Tanzania ni sawa na Marekani,yani kipato cha mtu unskilled labour kipo juu sana kuliko hata hapa bongo kwa upande wa skilled ..kwel kunasehemu tumekosea kama nchi.Magufuri lala salama baba..
Purchasing power haipimwi kwa kutumia traditional method tuu bali kwa ku account factors zinginezo.

Buku ya bongo inaweza nunua bidhaa ambazo pesa ya Marekani dola moja ikashindwa kwa hiyo msikariri.
 
Huyu mama kweli hamnazo yaani analinganisha bei na marekani, Kwa hiyo kipato cha MTU WA marekani ni Sawa na cha mtanzania WA tandale
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Seriously?

Kuna yule mke wa mfalme wa ufaransa aliyeshangaa watu kuandamana kisa kuadimika kwa mkate badala ya kudai keki
 
Mhhhh! Mama kweli anaupiga mwingi badala ya Kuifananisha Tanzania na nchi kama Kenya, Uganda, Congo na Msumbiji anaifananisha na Marekani
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. 😁
Huo uchumi unaouzungumzia pia ni ghali kuliko uchumi wa Bongo

Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Kama kiongozi anakosa njia Bora za kutatua changamoto zinazowakabili waongozwa, Pana haja Gani kukalia kiti!!! Mtu yeyote akikuambia jambo kipuuzi na akijua ya kuwa unafahamu upuuzi anaokwambia, ni ANAKUDHARAU. Mwl Nyerere said.
 
Hajui asemalo. Kila nchi ina gharama zake za maisha. Kima cha chini cha mshahara US ni zaidi ya Tshs 5,000,000 . Kwa tafisili hiyo siyo ajabu chapati kuuza 10,000 huko Marekani kwa sababu gharama za maisha zipo juu na kipato cha ndani kipo juu
Umeshatoa jibu, gharama za maisha US ni kubwa kuliko Tzn kwa hiyo hata walipwe pesa mingi kiasi gani zitakuwa eroded na ughali wa maisha so Rais yuko sawa kabisa..

Ikiwa hapa Tzn mtu ana buku jero anakula Milo 2 ,unaona hii inawezekana Marekani?
 
Kama kiongozi anakosa njia Bora za kutatua changamoto zinazowakabili waongozwa, Pana haja Gani kukalia kiti!!! Mtu yeyote akikuambia jambo kipuuzi na akijua ya kuwa unafahamu upuuzi anaokwambia, ni ANAKUDHARAU. Mwl Nyerere said.
Utatuzi gani unaoutaka wewe? Kwani kuendesha Nchi ni ishu ya mafuta pekee? Hilo la mafuta lipo Tanzania tuu?

Wewe mwenye maarifa tupe utatuzi.
 
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kua bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.

Rais anasema juzi alikua Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.

Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha mahojiano na Tido Mhando.

Juzi pia Rais akiwa Arusha alisema kua watu wanapenda kulalamika umeme ukikatika kidogo tu wakati hata New York umeme unakatika tu hata kuliko Tanzania.

Kazi tunayo ,tena Kazi kubwa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama huyu !!!! ??????

Nimeishi UK, kule kila kitu gharama nguo, viatu kodi ya pango n.k. , Ila kipato changu nilichokuwa napata kule kwa wiki kwa kazi hio huku hata kwa mwaka huenda nisingepata..., (yaani hapo naongelea unskilled labor bado sijaongelea professional jobs)

Hivi haya anayasema kama siasa, kukosa uelewa au anatudharau (insulting our intelligence)
Gharama ukifananisha na nani, inawezekana uchumi wao ndio unaruhusu vile. Yawezekana millioni 2 ninayoipata mimi kwa mwezi mzima hiyo ni pesa ya mfanyakazi wa US kwa masaa 12 aliyofanya kazi kwa siku.
 
Kazi tunayo ,tena Kazi kubwa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mnaopenda cheap life na kudekezwa Kazi mnayo tena sio ndogo..

Kamwe Serikali haiwezi kufuta Kodi za kujengea barabara,za kujengea huduam za afya na elimu Ili wewe mwenye gari ununue mafuta bei rahisi,hii haipo kama vile ambavyo tozo ziliwekwa mkalia na zimeendelea kuwekwa..

Wenzenu Luke Ghana licha ya kupigana ngumu Bungeni Kuhusu tozo za miamala ya simu mwisho wa siku zimeanza kutekelezwa rasmi mwisho wa mwezi wa 4 😁😁😭😁😅
 
Hapo ndo mnakosea kumleta Magufuli wakati na yeye alikuwa Msanii
Bora Usanii wa Magufuli una maana Impact Yake kwa jamii kubwa ya wananchi ilionekana Brother. Sasa hivi mambo shagala bagalatu.

Matajiri wanaendesha nchi wanafanya wanavyotaka. Nikukamuliwa mpaka tone la Mwisho.

Wewe unaweza usione madhara lakini nakuhakikishia baada ya Mwezi 1 bei ya vitu itakavyopanda utangea lugha 1
 
Back
Top Bottom