polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,359
- 5,808
Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu
Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20 had 100km kutafuta huduma hiyo wakati hivyo ni vipimo ni vya msingi kabisa kuwepo kwenye vituo vya afya
Nashauri liingizwe kwenye mkakati na kuonheza wataalam wa kuvi operate ili kupunguza baadhi ya vifo
Swala vipimo hivyo nayo ni turufu kubwa sana kijamii lakini itazid kukupa heshima sila lazima vyote kwa mara moja lakini angalau vile vya msingi kabisa hasa vinavyo weza kusaidia hasa kina mama na watoto
Hii ya vituo vingi vya afya tena vikubwa kuwa wagawaji wa amoxylin na paracetamol tufike mahali tuoboreshe , wataalam wa kuongoza vifaa hivyo waajiliwe katika vitu vya afya vikubwa vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo