Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

Msoga wasipomzonga naona ni mmoja wa vijana wenye nia njema na nchi hii...anajua anachokifanya... hongera kwa JPM kuibua kipaji.
Unapomuunganisha Bashe na Jiwe ni kutaka kumuharibia Bashe, kwani Watanzania wengi wanamchukia Jiwe, so kama uko na nia nzuri mwache kijana wa watu.
 
Maafisa ugani ni watu muhimu katika kupeleka na kutafsiri matokeo ya tafiti mbalimbali kwa wakulima, wanasayansi tunapofanya tafiti mara nyingi zinabaki kwenye machapisho ambayo yanaishia kusomwa na watafiti wengine, badala ya mapendekezo kupelekwa kwa maafisa ugani wakawaelimishe wakulima. Wizara ya TAMISEMI inatakiwa kuwa na dawati la kupokea mapendekezo mbalimbali ya watafiti yaliyotokana na tafiti zao ili wazisambaze kwa wagani waliopo halmashauri na kuweza kuwaelimisha wakulima.
Sure Chuo cha kilimo uyole kina fanya tafiti nyingi sana sema wanao faidika ni wa chache.
 
Bashe is good.Ila nashauri kwa mara nyingine tena yafuatayo:
1.Maafisa Ugani wawe na weledi unaotakiwa.Wengi wanaogopa kwenda kwa wakulima because they are incompetent.
2.Ihakikishwe kwamba vyombo vyao vya usafiri vipo up and running wakati wote.Kwa hiyo wapewe posho ya mafuta na service inayo tosheleza haja.
3.Hela ya kutosha kwa ajili ya mashamba darasa ijumlishe pia vifaa kama pesticides,sprayers,mbolea nk.
4.Hizo pikipiki baada ya miaka miwili,wapewe ziwe zao,ila waendelee kupata posho ya mafuta na service,in that way watazitunza.Wasainishwe mkataba unaoainisha hili.
5.Nashauri mishahara yao iongezwe,ili kushawizi brains kuingia huko.
6.Mwisho nashauri pia vijana waliofaulu vizuri ndio wachaguliwe ku-pursue course ya Kilimo.

Otherwise hongera sana Bashe,viatu vimekutosha.
Kuhusu wataalamu kwenye sekta ya Kilimo na Mifugo hua wanachanganywa sana.

Kuna watu wa mifugo peke yake, kuna watu wa kilimo peke yake, kuna watu wa Malisho(Range officers). Sasa unakuta hawa watu wakiwa field halmashauri inawapangia majukumu tofauti na walicho kusomea na hii ni kutokana na uhaba wa watumishi kwenye halmashauri.

Mtu wa Range huwezi mpangia Mifugo then utegemee out put nzuri lazma atafanya bora liende tu.

Na kuna tendance ya kuzani vijana wote kutoka SUA ni vilaka katika Mifugo na Kilimo kitu ambacho sio kweli.
 
Kuna mambo mengine yanatakiwa kufanyika kimyakimya tu bila mbwembwe zote.

Kwa mfano Afisa kilimo au mifugo Pikipiki ni kitendea kazi chake cha kawaida kabisa kama zilivyo chaki kwa mwalimu.

Wakati wa utawala wa Nyerere hata mzee Mgaya alipewa Pikipiki ya kuzungukia maeneo mbalimbali pale Njombe akihimiza mambo ya kilimo cha kujitegemea

Hivyo Chadema kumshangilia sana Bashe kwa kugawa Pikipiki kwa maafisa kilimo kinaonyesha jinsi chama hicho kinavyoendeshwa na vijana wadogo wasiojua historia.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kijana anajituma sana, aendelee kuchapa kazi aachane na akili za siasa chafu zilizozagaa kila mahala Tanzania.... Taifa bado lina hadhina ya watu Bashe yuko vizuri, kuna yule kijana Bashungwa yuko vizuri, Biteko akiacha yale mambo yake akafocus kazi yuko vizuri, Makamba junior yuko vizuri, Riz 1 yuko vizuri, yule kijana kutoka CDM wa Tunduma yuko vizuri, ...Taifa lina hazina ya vijana SHIDA SIASA CHAFU..

Jafo hatufai Mama piga chini yule Mzaramo..
Mbona Jafo ndiyo anafaa kuliko wengi uliowataja? Au kufaa kunamaanisha nini? TAMISEMI ya Jaffo nanianefikia hata robo yake? Acheni kutugawa, sisi tuna macho.
 
Bashe amejitahidi kutoka kwenye ,"Ubunge" na kuuishi uwaziri.

Kuhusu fedha za Kilimo kupitia benki za kibiashara bado nina doubts kama zitawafikia wakulima unless kuwepo na muongozo kamili na dhibiti.
Tungebainisha wakulima strategically na kuwapa mikopo ambayo itarejeshwa yaani tuwe na bodi ya mikopo ya Kilimo.
Tuwe makini tusije zalisha Kagoda nyingine...Ukishaumwa na nyoka hata ujani ukiuona unauogopa!
 
Bashe hajaibuliwa na marehemu wenu tafuteni sehemu nyingine ya kujiliwaza.

Bashe anajurikana kitambo kama yuko vizuri upstairs, labda umtaje Rostam Aziz ndiye aliyemuibuwa unaweza kueleweka, lakini kwakuwa upo kundi lile la washamba huwezi kulijuwa hili.
Usisahau alishaambiwa siyo raia wa Tanzania...Alijipigania mwenyewe bila kukata tamaa
 
Nia ya jinamizi ilikuwa ni kumziba mdomo Bashe ili ajumuike kwenye praise choir.
Tupo kwenye maridhiano wenzako, wewe kile cheti chako feki kisituharibie agenda yetu ya kitaifa😂😂😂
 
Too theoretical
Tatizo la wakulima sio maafisa ugani
Tatizo ni masoko, bei za pembejeo

Sumry ana maafisa ugani wake wengi tu lakini kilimo nacho kimemshinda kapunguza sana uzalishaji na anataka kuacha.
Na huyo ni mkulima mkubwa aliyeinvest billions of money
Lakini leo hii Bei ya pembejeo kununua zaidi ya mara 3 ni ajabu na asingeweza.

Ila pole kwa taifa la Tz, viongozi hawajui vipaumbele
Umemaliza kila kitu mkuu!!mala ngapi mazao yanapatikana kwa wingi sana nchini hasa mchele na mahindi yanakosa soko!!?
Tatizo ni gharama kubwa za uzalishaji na kilimo cha kutegemea mvua ni mtihani,
Mfano ngao inayotoka UKRAINE, bei yake hadi inafika nchini ni kidogo sana, kuliko inayolimwa hapa nchini, sasa na mfanya biashara gani atakubali kununua nganonya bei kubwa?!bado ni siasa tu
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Ni uhakika kabisa hizo pikipiki zitafanya kazi ya ubodaboda kwa faida zaidi kuliko kufanya ugani....Nchi hii wanapenda sana kutapanya pesa bila kujali matokeo ili tu kutimiza tamaa za kisiasa....Kinachoangaliwa zaidi ni uchaguzi na kura za wakulima kuliko matokeo ya kumkwamua mkulima...Ninaweza andika hadi pg 260 kutengeneza kitabu why I do not believe in what is done!

Just imagine, mafuta ya hizo piki piki ni budget ya Halmashauri ipi hapa Tanzania itayatoa? Kisha hao wakulima unawakusanya kwa pesa ipi li ukawafundishe hicho kilimo? Kama kuwa tembelea utawafundisha wangapi kwa siku mpaka mvua ziwe haziaaanza kabla hujawamaliza watu wote kwenye kijiji ambacho kina household zaidi ya 3000? Kuna vitu vina chekesha sana sana...Hao ma afisa ugani kwanza wengi kilimo hakijui zaidi ya kukisoma kwa lugha ya kizungu darasani bla practical, huku ukiwa unalipa hao mshahara kila mwezi ambao pamoja na wenzao ambao hawazalishi bali kutoa service wana consume about 60% ya budget nzima ya serikali. Bila kusahau umesha somesha wengine wengi kwa level ya degree ambao hawapo shambani wala hawana vipato then unakazana kusomesha wengine eti waweze kimuzalisha inavyotakiwa, what a joke!...This country ni Katiba mpya tu itatusaidia kuondoa hizi hisani za viongozi na kujiamulia mambo bila kujali preferences za wahusika. Kwamba they know what people prefer more than people themselves, kumbe ni screen saver tu agenda ni ili wakubalike na kuonekana wamewajali wakulima...
 
Ni uhakika kabisa hizo pikipiki zitafanya kazi ya ubodaboda kwa faida zaidi kuliko kufanya ugani....Nchi hii wanapenda sana kutapanya pesa bila kujali matokeo ili tu kutimiza tamaa za kisiasa....Kinachoangaliwa zaidi ni uchaguzi na kurq za wakulima kuliko matokeo ya kumkwamuq mkulima...Ninaweza andika hadi pg 260 kutengeneza kitabu why I do not believe in what is done!

Just imagine, mafuta ya hizo piki piki ni budget ya Halmashauri ipi hapa Tanzania itayatoa? Kisha hao wakulima unawakusanya kwa pesa ipili ukawafundishe hicho kilimo? Kama kuwa tembelea utawafundisha wangapi kwa siku mpaka mvua ziwe hazihaanza? Kuna vitu vina chekesha sana sana...Hao ma afisa ugani kwanza wengi kilimo hakijui zaidi ya kukisoma kwa lugha ya kizungu darasani bla practical...This country ni Katiba mpya tu itatusaidia kuondoa hizi hisani za viongozi na kujiamulia mambo bila kujali preferences za wahusika. Kwamba they know what people prefer more than people themselves, kumbe ni screen saver tu agenda ni ili wakubalike na kuonekana wamewajali wakulima...
Kibaya zaidi na waziri wake kwa sasa ni kama msanii tu!!mpenda misifa na kujipendekeza tu, yaani mipango kibao, siku moja nilimsikia anasema sasa ni wakati wa Tanzania kulilisha bara la Afrika!!!kweli kwa kilimo cha kutegemea mvua?!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
YOTE HAYO YANAENDESHWA KISIASA SIYO KIMFUMO, na ni marudio tu ya Sera za awamu zilizopita,
Hapa ndipo mnapofeli. Kuamini kila kitu ni siasa wakati infact watu wanapiga maisha kwenye kilimo na mikopo wanachukua. Last year nilikuwa likizo nyumbani, nikazunguka kuangalia fursa za kilimo na kwenda Rujewa. Kiukweli kuna hela inazunguka kule si mchezo. Kuna watu kadhaa humu wametoa ushuhuda walinunua mbegu ya alizeti kwa bei ya punguzo. Huko Njombe watu wanapiga pesa za avocado, nyie mpo kupinga tu. Vijana acheni visingizio fanyeni kazi. Hakuna kiangozi mmoja atakayekuja then ataleta hata kilo moja ya sembe ndani kwenu. Play your part, grab opportunities wherever they are.
 
Wewe unaangalia kwa hao ambao hawafiki hata 1% kisha unauita ushuhuda? Sisi tunaangalia macro level, inayochagizwa na micro level...Cheki ni households ngapi za hali chini utawapa hizo funds ili iweje? Market itatoka wapi kama wao wana fanya self service na kuharibu tu mazingira kwa scattered plots zisizo na productivity yeyote? Ebu acheni usanii bana!

Haya yote ni matokeo ya power kuwa vested kwa mtu mmoja ambaye anaweza peleka ideas zake zikawa ndizo za kila moja bila kujalo wanapata hasara au faida ili mradi malengo binafsi yaliyojificha nyuma ya yale anayoyahubiri yanatimia...We are not such ignorant, kumbuka hii ni karne ya 21!
 
Unapendekeza nini kwenye kilimo kifanyike sasa zaidi ya hivyo? Naona mnalalamika kila kitu. Ukishachimbiwa Bwawa na kupewa ardhi na mikopo ya sana za kilimo, mlitaka serikali ifanye nini sasa? Demand creates supply and supply may creates demand. Yes, to attain macro level of anything you may need strong micro level of it. Je pendekezo lenu nini? (KATIBA MPYA???)
 
Kuhusu wataalamu kwenye sekta ya Kilimo na Mifugo hua wanachanganywa sana.

Kuna watu wa mifugo peke yake, kuna watu wa kilimo peke yake, kuna watu wa Malisho(Range officers). Sasa unakuta hawa watu wakiwa field halmashauri inawapangia majukumu tofauti na walicho kusomea na hii ni kutokana na uhaba wa watumishi kwenye halmashauri.

Mtu wa Range huwezi mpangia Mifugo then utegemee out put nzuri lazma atafanya bora liende tu.

Na kuna tendance ya kuzani vijana wote kutoka SUA ni vilaka katika Mifugo na Kilimo kitu ambacho sio kweli.
Nakuelewa.Kama hayo yanafanyika ni makosa makubwa na hayana budi kurekebishwa haraka.Wizara zote husika lazima zifuatilie suala hili haraka ili kuhakikisha kwamba tunapata output tunayoitegemea.

Hata hivyo nisisitize kwamba weledi wa vijana wetu ni changamoto.Hili nimelishuhudia live kwa kuwa nimewasimamia kwenye field practicals mara nyingi.
 
Hapa ndipo mnapofeli. Kuamini kila kitu ni siasa wakati infact watu wanapiga maisha kwenye kilimo na mikopo wanachukua. Last year nilikuwa likizo nyumbani, nikazunguka kuangalia fursa za kilimo na kwenda Rujewa. Kiukweli kuna hela inazunguka kule si mchezo. Kuna watu kadhaa humu wametoa ushuhuda walinunua mbegu ya alizeti kwa bei ya punguzo. Huko Njombe watu wanapiga pesa za avocado, nyie mpo kupinga tu. Vijana acheni visingizio fanyeni kazi. Hakuna kiangozi mmoja atakayekuja then ataleta hata kilo moja ya sembe ndani kwenu. Play your part, grab opportunities wherever they are.
Ninayezungumza hapa ni mkulima, siyo wa WhatsApp wa shambani!
Nilishakataa ajira zaidi ya miaka 20, ni mkulima na mfugaji!
Mwenzangu labda nawe ni mkulima. Au wa kuandika Sera??
Mkulima na mfugaji hana likizo!
Sijawahi kutegemea sembe hata robo hata kutoka kwa mzazi!

Wapi mbegu imeuzwa Kwa bei ya punguzo?? Walimtangazia Nani??
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom