Tofautu na kusubiri misaada ya chanjo kutoka kwa Wazungu na Wachina serikali yetu ina mpango wake wowote wa kuagiza kwa fedha zake za ndani au mikopo chanjo nyingi zaidi za Corona kuchanja watu WOTE wanaozihitaji?

Kuna mambo mengi ambayo sio ya dharura huwa yanafanywa nje ya bajeti, Corona sio jambo la dharula tena kwa mwaka huu, ni jambo linolafahamika vizuri sana. Je kuna pesa zimetengwa kwa ajili ya kuagiza na kununua chanjo?
 
Serikali hii haiwezi kutumia fedha zake kuagiza chanjo; labda kila mwananchi achange kwa ajili ya chanjo yake. Tanzania imezoea vitu vya bure na misaada, ndiyo maana maendeleo kwetu ni nongwa.
 
Hela zote zinatumika kulipia gharama za uzururaji wa samia
 
Iwachangishe basi hao wananchi
Serikali hii haiwezi kutumia fedha zake kuagiza chanjo; labda kila mwananchi achange kwa ajili ya chanjo yake. Tanzania imezoea vitu vya bure na misaada, ndiyo maana maendeleo kwetu ni nongwa.
 
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Back
Top Bottom