Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Wewe nawe unaoneka unatafuta chochote hupati CHOCHOTE achana kabisa na kusifia maana huyo sip Mungu anahitaji sifa ni Mungu tu mwanadam tena mwana mke huyo atakufa kama sis weka imani kwa MUNGU

Unakaa unampa sifa mwanadamu mwenzio sifa furahia hiki
 
Safi sana mama yetu kuongoza Taifa ni kazi. Familia tu wengi tu zimewashinda. Pia Watanzania tungekuwa na roho kama huyu dada. Wanasiasa wasingetugeuza geuza na kutuwekewa kodi hadi za kupaka rangi kucha.
 
Hivi Erythrocyte unakumbuka ulitoa fyongo kwa kusema Samia ataumbuka maana atapokewa kwa maandamano na Mabango! Unaona sasa kuwa shetani (wewe na wenzako katika chadema kama akina Tundu Lissu) hawezi kumshinda Mungu (wapenzi wa CCM)!
 
Safi sana mama yetu kuongoza Taifa ni kazi. Familia tu wengi tu zimewashinda. Pia Watanzania tungekuwa na roho kama huyu dada. Wanasiasa wasingetugeuza geuza na kutuwekewa kodi hadi za kupaka rangi kucha.
Mbona hata yeye anasifa kama hizo tu 😀😀😀😀
 
Muhimu apige picha na maafisa usalama, kupiga picha na Rais peke yake hakutoshi, hata Manji alijiaminisha hivyo lakini alipofika Tanzania akaishia kwenye vyombo vya usalama, leo naskia hayupo tena nchini.
 
Rais S. S. H na Mange Kimambi pichani.

Nimeona watu wametoa maelezo yenye hisia tofauti kufuatia Mange Kimambi kuonekana katika picha na Mhe. Rais huko nchini Marekani.
Acha uongo. Manage Kimambi hajawahi kuisema vibaya nchi ispokuwa jpm na udictator wake ndo alipingana nao. Acha kuongopea watu mange kimambi hajawahi na hatawahi kuisema vibaya tanzania kwanza ndo anaipigania sana mpaka akamfanya dictator alikuwa hatulii.
 
Hivi mange alikua mwanachadema au mwanaharakati tuu?
Mange alikuwa mwana CCM akakengeuka tu !
ubunge.png
 
Back
Top Bottom