Rais Samia awasili Kilimanjaro kwa ajili ya kurekodi kipindi maalumu cha Royal Tour

Kagame na umaarufu wake,umeona anafanya huu ujinga?
Uliona move aliyoifanya kwa Messi kuwa balozi wa kuitangaza Rwanda kiutalii?
Sasa huyu Mama nani anamjua?
Kagame kafanya move gani kwa Messi?..si walikuwa na deal na PSG kabla ya yote na Messi kama mchezaji ni lazima avae training kit zenye hiyo visit Rwanda.
 
Ulitaka afanye nn? Hayo ni moja ya majukumu wee vp
Utalii unatangazwa na watu maarufu. She not one of them. But time will tell.

Anyway, ngoja tusubiri hiyo launching na TV station zitakazoibroadcast na time frame.
 
Duh...wabongo mnataka mfanyiwe nini jamani

Rais asipo safari mnalalamika
Akisafiri mnalalamika
Asipotangaza vivutio mnalalamika
Akitangaza mnalalamika

Hebu tupunguze kulalamika

Ova
 
Hahaha, naona leo wapo ndani ya casual, hilo gwanda Mother limempendeza sana, angetoa hicho kilemba then akapiga pama la rangi la hilo gwanda angetisha zaidi!
Sahihi mkuu. Atokelezee kivingine maana hicho kilemba kinakinaisha sasa. Umenikumbusha dada Makinda alivokuwa akisuka nywele kwa mtindo rahisi kabisa ambao wengine wanauita 'twende kilioni' alikuwa anapendeza mno.
 
1630848202772.png


Shame.
 
Hivi hakuna watu wenye ushawishi ambao wangeweza kufanya hii kazi???
 
Kutaka kwako kuna nguvu gani ya kuziendesha ratiba za ikulu ?!!! Khaaa 😲😲😲

Akina Aweso wanapambana kusambaza maji mpaka vijijini....

Wizara ya afya imeajiri watumishi 2000 baada ya miaka mingi....

Tamisemi wameajiri vijana zaidi ya 8000 baada ya miaka mingi kupita....

Watumishi wa umma wamepandishwa madaraja baada ya miaka mingi kupita.....

Mishahara itaongezwa mwaka ujao wa fedha baada ya miaka mingi kupita........

Mh.SSH anaupiga mwingi sana....

SIEMPRE JMT
KAZI IENDELEE HAKUNA NAMNA
Nahaki kumtaka rais afanye tuliyomwagiza nawewe shabikia unayowaza. Viingi vyamuhimu tulivyomtuma hajafanya afanye kabla ya kutuektia muvi
Tunataka katiba,elimu bora,taasisi imara,serikali sikivu nk. sio mapichapicha
 
Back
Top Bottom