mnengene
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 4,113
- 6,295
Kwani huo utaratibu uliandaliwa na Raisi samia, au na maRaisi wakutoka Tanganyika? sasa huyu mama kutekeleza huo utaratibu ana kosa gani? Acheni Raisi afanye kazi, nyie Matanganyika mnajipendekeza kwenye muungano usio kua na manifaa kwenu.
huu utaratibu aliupanga samia
kikao kilifanyia tarehe 23/08/2021
Hoja 11 zinazoelezea kero za Muungano wa Tanzania – DW – 24.08.2021
Hoja 11 kuhusu kero za Muungano zimepatiwa ufumbuzi katika kikao cha pamoja kati ya mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar cha kutatua kero za Muungano.
www.dw.com