Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begins at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika huko Zanzibar unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kushika nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa kiongozi wa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli?
Mimi nachotaka tuu, ni wazanzibar wanieleze hii tabia ya kulana ma.vi walitolea wapi?
 
Jambo hili niliwahi kulihoji , Mzanzibari rukhusa kuwa Rais kwa kivuli cha muungano. Mtanganyika hata huo uwakilishi huruhusiwi, leo Mzanzibari ni waziri wa ujenzi, wizara isiyo ya Muungano. Huu ubaguzi haukubaliki. Watanganyika tukatae kwa kusema hapana, kama kuna kadiri mbaya kabisa ni hii wa upande mmoja ni halali kwa pande zote lakini wa upande wa pili si halali kwa upande mmoja. Hii ni dhambi ya ubaguzi. Meli Nyerere alifanya makosa makubwa ambayo hatutakiwi kuyaishi. Iitishwe kura ya.maoni kwa watanganyika ili kujua maoni yao kuhusu aina hii ya muungano baka! Nasema baka nikimaanisha watanganyika tunabakwa haki zetu.
 
Wazanzibar wanakula kotekote bara na visiwani ila wao ndo wa kwanza kylalamika eti Tanganyika imevaa koti la muungano.

Tanganyika itavaaje koti la muungano wakati Wazanzibar wana haki zote Tanganyika kwenye mambo ya muungano na yasiyo ya muungano halafu huko Zanzibar wao peke yao wana haki kunufaika na mambo yasiyo ya muungano?

Leo tuna rais Mzanzibari anatuamulia sisi Watanganyika hata kwa mambo yetu ya Tanganyika yasiyo ya muungano, hii imekaaje?

Huu muungano uangaliwe upya
 
Kama suala la ratio basi tungeungana na Sudan au Kenya + Uganda pamoja.

Kungekuwa na makamo wa Raisi 35 kati ya hao Mzanzibar ni 1 na Watanganyika 34 etc
 
Kwa hii ratio, wanzanzibari hawatakuwa na tatizo la ajira kamwe. Nadhani viongozi wetu hawajui hesabu. Ili haki itendeke walitakiwa waangalie population ya Wazanzibari against Watanganyika. Hiyo population ndio ingekuwa determinat factor ya kujua asilimia kiasi gani ya ajira iende visiwani na asilimia ngapi ibaki bara. Hii ya kusema tu 21% iende Zanzibar ni baseless, useless and groundless. It is purely thumbsuck.
Mkuu tatizo hujui hesabu,ukichukua 1.5/7.
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begins at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika huko Zanzibar unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kushika nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa kiongozi wa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli?
Ni lazima wa zenj wapewe upendeleo maalumu maana nyie ndio mnawalazimisha Muungano wenyewe.
 
upuuzi huu uliafikiwa kwenye kikao hicho hapo juu wa maelekezo ya mama maushungi na wala sio kipindi cha awamu ya 5
fuatilia yaliyoafikiwi kwenye hicho kikao kuna maupuuzi mengi sana ya kuwapendelea wanzazibar ndio maana hata yaliyojiri yalifichwa .
moja wapo ya maafikiano ya kikao hicho ni huu upuuzi,wa ajira ila yapo mengi sana,

jafoo na mr planning ni watu wapuuzi sana
Ndugu yangu wewe si mfuatiliaji wa Mambo.
Hilo suala liliafikiwa kipindi kile kile walipoafikiana mafuta yatolewe kwenye Muungano.

Hiyo link sijaweza kuifungua lakini naamini hayo ni maamuzi tu ya utekelezaji wa walicho kubaliana wakati huo.
 
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begins at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika huko Zanzibar unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kushika nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa kiongozi wa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli?
Hayo ni matokeo yenye utata ya muungano wa vitu viwili wenye kuleta vitu viwili badala ya kimoja. Hili si jambo la kawaida.

Nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar zilipoungana zilileta nchi moja utambulizi kama JMT, lakini cha ajabu ni kwamba Tanganyika ilimezwa na kupoteza hadhi yake yote ya utambulizi wake wa awali kama nchi, lakini kwa upande wa Zanzibar yenyewe ilibakia na hadhi yake na kutambulika kama nchi iliyo ndani ya muungano.

Mtetezi wa Tanganyika ndani ya JMT atakuwa ni nani, nchi ambayo haipo na hata siku ya uhuru haiadhimishwi kwa kulitambua jina lake la asili. Rais wa jmt anatoka upande wa Zanzibar, kwa upande huo yupo Rais wake ambaye anatetea maslahi ya Wazanzibari. Je! Kwa upande wa Tanganyika ni kiongozi gani anayetambulika kikatiba mwenye uwezo wa kutetea maslahi ya mama Tanganyika? Si Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu mwenye uwezo wa kufanya hivyo, kwa kuwa wao ni wateule na wasaidizi wa Rais wa JMT.
 
Ndugu yangu wewe si mfuatiliaji wa Mambo.
Hilo suala liliafikiwa kipindi kile kile walipoafikiana mafuta yatolewe kwenye Muungano.

Hiyo link sijaweza kuifungua lakini naamini hayo ni maamuzi tu ya utekelezaji wa walicho kubaliana wakati huo.
nimutumia link nyingine hapo chini isome ulewe vizuri ,haya ni mambo ya huyu maushungi

View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begins at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika huko Zanzibar unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kushika nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa kiongozi wa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli?
wacha wapate tu hizi ajira, pengine kuna siku watakuja kujua kuwa hatuwachukii. shita itakuwa elimu, elimu yao ipo chini sana, hata wenye degree uelewa wao mdogo mno na wana mambo ya polepole utafikiri bado wapo zanzibar. yaani ule ustaadhi na unyenyekevu wa zenji na kujali dini kuliko hata kazi huwa wanauleta hadi kazini, kumbe pale kazini sio wote wa dini yako ukienda polepole watu watakuzidi uwezo na kukunyang'anya cheo muda si mrefu.
 
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begins at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika huko Zanzibar unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kushika nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa kiongozi wa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli?
Kama ndio hivyo ajira zitolewe kulingana na watu wa mikoa husika.sio mikoa fulani wamejaa watu serikalini hilo pia ni tatizo sio muungano tu

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama hamutaki wazanzibar wapewe hizo nafasi bora tugawane mbao mutuachie zanzibar yetu mubaki na Tanganyika yenu sio museme mutaulinda mungano mpaka toni la mwisho la damu tena kwa mtutu wa bunduki
unataka tugawane mbao? tukigawana wewe hauta pata kitu kwasababu ......... everything you have in your minds ni theory to kwamba eti sijui tunawadai bara kwasababu ye pesa nyingi sana ambazo zingeingia kama immigration ingekuwa yetu, sijui takataka gani etc, hamna ubao mtapata tukigawana kwasababu hamna chochote mnachangia, zaidi sana mtatulipa umeme wetu....hahaha. miongoni mwa watu milioni 60 wa Tanzania, milioni 2 tu ndio ninyi, ukiweka ratio mna nini hapo, labda mtaokota misumari .

pia, wazanzibar wengi sana wapo bara na wanafaidika, nilishawahi kufanya kazi serikalini, biashara (ndogondogo) pia wapo wengi sana dsm though huwa hawatumii elimu ya biashara, na akifanikiwa kidogo anaongeza wake na kupiga starehe jambo ambalo hawataweza na huwa hawawezi kushindana na wachaga na wakinga (angalia hata maduka ya jumla tu wapemba hawezi), kigamboni wamejaa wapemba, uswahilini za dsm ni wapemba, hadi mikoani mnamiliki ardhi lakini sisi tukija kwenu hamtaki tumiliki ardhi, hivi hata hiyo dini mnayosali huwa haiwahukumu kweli kwa namna mnavyodeka na kuwa na roho ya manung'uniko?

ningekuwa mimi mzenji ningepambana sana awamu hii kwasababu tunakoelekea dunia inafungua macho wananchi kwa media mbalimbali na kuna uwezekano msijepata tena nafasi mliyonayo sasa. mkichafua uhusiano wa izi jamii mbili kuna siku mnaweza msije kupata rais tena wa zanzibar na kura zitaamua, na unajua watu wa wapi ndio wenye kura nyingi, huu ni wakati wenu wa kuisafisha zanzibar ionyeshe undugu na mshikamano na muungano, kwasababu nyakati kama hizi huwa hazijitokezi na zinaweza zisijitokeze tena kwenu. its not a guarantee kwamba mtakuja kupata tena Rais mzenji hasa kama watu wataona upendeleo wa wazi umefanyika kwenu.

kikwete alikuwa bara, ilitegemewa magufuli angekuwa mzenji, je? why ilitokea vile? siku mkija kuona watanganyika wamecharuka mioyo, mtatembea ya mguu hadi nungwi na hamtaamini macho yenu. ninyi endeleeni tu kuwachezea sharubu.
 
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begins at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika huko Zanzibar unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kushika nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa kiongozi wa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli?
Mtoa mada acha upumbavu wa kutokufuatilia mambo .zanzibar inanyonywa kwa muda mrefu sana ww umeona ajira za uhamiaji tu nyuma ya pazia mambo ni mazito

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
nadhani serikali inatakiwa tu kuwa makini kwenye hilo, uzuri ni kwamba kama ni kweli itakuja kujulikana tu na kama ni uzushi itakuja kujulikana tu. kama ni kweli, itasababisha chuki dhidi ya wanzanzibar hasa kwa kuona labda kwasababu Rais ni wa huko. siku hizi ujumbe mmoja tu kwenye mitandao ya kijamii huwa unaamua jambo la nchi, angalia mfano kigogo2014 alivyosambaratisha sukuma gang, hivyo hivyo unapojiona kuna amani huwa inakuja kutokea tafrani ya siku hata mbili tu ikabadilisha hali ya hewa yote, watanzania hasa wa bara hawahitaji siku nyingi sana kuhamasishwa kuwa muungano hauwatendei haki (kama jambo hili litakuwa la kweli) hasa kama ushahidi utakuwepo ambao haufutiki, kitu hicho tu kinaweza kuja kusababisha muungano ukafa kabisa na kwenye historia aliyeuua muungano ataandikwa milele.
 
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begins at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika huko Zanzibar unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kushika nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa kiongozi wa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli?
Amueni mnacho amua msitushughulisheee
 
Back
Top Bottom