Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali aliowateua, yumo Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mabalozi

Hamna hoja nyinyi.

Madam President anachanja mbuga tu
mbuga gani? Mbuga ya matozo na makodi Labda!! Tulihitaji mchanja mbuga?? Kikubwa nachokiona nikujua kubalansisha dini kwenye uteuzi na wazenji kuibuliwa...
akiondolewa jukumu la uteuzi sijui tutamwona akifanya nini?
 
Hapa TBC wanasema anapokea taarifa ya uchafuzi mkuu uliofanyika 28/10/2020........ngoja tuone katiba mpya itapambana vipi na chafuzi kuu zijazo....
 
Wewe na nani yanawaendea
Sisi Watanzania tulio wengi. Tuliokipigia chama cha Mapinduzi kura nyingi sana na kukifanikishia ushindi wa kishindo.

Sisi Watanzania tulio wengi, ambao tumeunda serikali na tunaridhishwa na kazi anayo ifanya Mheshimiwa rais Mama Samia Suluhu Hassan.

Una jengine??
 
Wala sijawahi kulitumia hilo neno
Hahahahahaahahahah

Mtaendelea kuyakana yote mliyoyasema hapo kabla. Kikwete ndie aliekuwa mbaya kwenu, akaja Mzee Magufuli akawa mbaya sana kwenu, Leo kaja Mama nae ni mbaya kwenu, ataondoka atakuja mwengine hali itakuwa ni hivyo hivyo tu.

Wenye kujua tunajua kwamba nyinyi hamna jema
 
Nimesikia kutoka Uganda Jana kuwa rais M7 kateua majaji wa mahakama kuu. Lakini hiyo haitoshi maana inabidi majina yao yapelekwe bungeni ili yaidhinishwe kama kweli wanafaa kulitumika taifa au kumtumikia aliyewateua, na huenda palikuwa na vetting kabla ya huo uteuzi.
Huko ni Uganda ambako tuliaminishwa miaka yote kwamba siasa zao sio nzuri na wana udikteta!
Huku walitaka kupinga uteuzi wa PM hivi juzi
 
mbuga gani? Mbuga ya matozo na makodi Labda!! Tulihitaji mchanja mbuga?? Kikubwa nachokiona nikujua kubalansisha dini kwenye uteuzi na wazenji kuibuliwa...
akiondolewa jukumu la uteuzi sijui tutamwona akifanya nini?
Message was simple and clear. Kama vipi hamieni Burundi huko!

Mnadhani maendeleo yanashuka tu kutoka mbinguni???

Wewe linalokuuma ni Waislam kuteuliwa au Wazanzibari kupewa nafasi?? Likikuuma sana usisite kusema
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom