Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali aliowateua, yumo Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mabalozi

Katiba pendekezwa iliyopunguza Madaraka ya Rais ililetwa wakati wa JK ikakataliwa, Wapinzani walitaka hadi Serikali 3 nayo iwemo

Subira yavuta kheri
Mkuu, rekebisha hapo.
Sio wapinzania waliopendekeza serikali 3 bali ni wananchi kupitia kamati/tume ya Mzee Warioba na Jaji Ramadhani (R.I.P)
 
Nazungumzia level ya Bunge la Katiba

Waliokataa hadi kutoka Bungeni ni Wapinzani
Mkuu, rekebisha hapo.
Sio wapinzania waliopendekeza serikali 3 bali ni wananchi kupitia kamati/tume ya Mzee Warioba na Jaji Ramadhani (R.I.P)
 
Nazungumzia level ya Bunge la Katiba

Waliokataa hadi kutoka Bungeni ni Wapinzani
Tuendelee kuwatwisha majungu wapinzani huku tukiwajua waliotufikisha hapa.

Ila tujiwie wakweli wenyewe, sisi Watanzania tunageuka kuwa wanadamu wa ovyo na wa ajabu na nina wasiwasi kama dunia itaendelea kutuamini katika mambo serious.
Walivyoanza kukimbia na kuisaliti cdm tuliona ni kawaida, sasa imefikia sehemu hata mashabiki wa wazi hawaoni aibu kuamia pande zingine kisa ni maslahi. Kuaminiwa na kuaminika kunaweza kutujengea nchi yetu zaidi ya ushabiki na ujinga mwingine tunaoufanya.

Kikubwa kabisa katiba ya Mzee Warioba ni nzuri mara 100 ya hii iliyopo na ni ajabu watu zaidi ya milioni 60 tumekaa kimya. Kuna kifungu kwenye katiba hii kuwa mtu akishatangazwa hakuna mamlaka yoyote duniani na mbinguni inaweza kuhoji uhalali wa matokeo, tumekubali. Lakini mtu huyo huyo kaenda mbali zaidi na kuamua kutangaza wabunge na madiwani wote anaowataka yeye bado tunakubali kuwa 'katiba iko sawa' tatizo ni wapinzani na hasa cdm, Kweli???
 
Ningekuwa SSH ningeanza na baraza la mawaziri, hao watu wa mwendazake ndio 'magaidi' wake na sio Mbowe!
Muda ni mwalimu mzuri sana, atakuja kujutia hilo
Wabunge asilimia 95 waliwekwa na magufuli ili abadilishe katiba, sasa unataka ateue baraza na watu ni wale wale wa magufuli
 
Back
Top Bottom