Rais Samia, avunja Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli nchini TASAC

Hana lolote zaidi ya kutaka kuweka watu wake, waswahili kutoka visiwani 'Zanzibar' na ukanda wa Pwani plus team Msoga; kama alivyofanya TANESCO, wizara ya nishati na kwingineko
Yule maharage chande ni wa wapi
 
Unasema kweli ? Mbona mnatuchanganya akili namna hii ? Yaani una maana hii ni funika kombe ?
Mapato ya bandari ni lazima yawe angalau (tumekosa sana) trilioni 1.5 kwa mwezi.

Chini ya hapo ni wizi, madili na ufisadi ndo umetamalaki.
 
Hana lolote zaidi ya kutaka kuweka watu wake, waswahili kutoka visiwani 'Zanzibar' na ukanda wa Pwani plus team Msoga; kama alivyofanya TANESCO, wizara ya nishati na kwingineko
Mbona dikteta magufuli alikuwa anawapiga chini wasio wa upande wake,halafu akapachika wasukuma wenzie na wakristo wenzie kila idara,,

Kenge ww
 
Wanaotoka na wataongia ni wale wale, wanachozidiana na viwango tu.
Mkuu wewe miaka yote Ni mtu wakulaumu tuuuu,,

Unalipwa au, tumempiga vita yule kiumbe na utawala wake wa mkono wa chuma,kaja mama anatawala kwa haki, Bado mnalaumu
 
Magufuli aliwapata wajinga kama wewe akawafanya mtaji wake kwa kuwalisha propaganda zake kupitia TBC. Let him rot in hell
Prior to Magufuli presidency michango yako ilikuwa very objective na ukuwa na udaku wa siasa za upande. But then those where the times when things were easy serikarini.

Miaka 5 ya Magufuli kawanyoosha kidogo kupe mliozoea mambo rahisi rahisi serikalini wala sishangai hasira zenu kwake na kukumbuka umuhimu wa siasa za JK serikalini kwenye ya jamii pest.

Well kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake kwa mfumo mliouzoea, akili kichwani huku mtaani.
 
Hatuishi kwa kukariri kama wewe. Tunakwenda na hali halisi iliyopo. Kama Serikali inafanya vibaya tutaishambulia, kama inafanya vizuri tutaiunga mkono. Huwezi kuniambia kuwa huoni mabadiliko ya uongozi wa Samia kutoka kwa Dikteta wa Chato
 
Back
Top Bottom