Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

Mkuu punguza spidi basi,naona thread zako kibao zinashuka kumpa kongole chief Hangaya!
Jamaa amewafunika wengi sana,hakika amekuja kwa kishindo. Naona kuna idara pale ya JF.

hawa akina kipara kipya,lizabon,johnbatist n.k hawafui dafu kwa huyu mwamba.

Bila shaka amepewa vitendea kazi sawia.

Ila kwa yote Mama Samia anakimbiza mwizi kimya kimya.
Huku mtaani mrejesho umeanza kupatikana.

Tumuombee mama yetu moyo wake pia uendelee kuwa wa nyama.
 
Umeongea vema,ila mleta mada nilimuuliza kitu akaingia mitini!Nimemuuliza kwasababu inaonekana huko jikoni kabisa,suala lenyewe ni juu ya changamoto 11 zilizotatuliwa na Samia,nimemuuliza Kama anazijua!
 
Madawati tunashngailia.. siku tutashangilia viti vya kukalia ofisini.. haya ni mambo ya kufanywa na serikali za kitaa na sio Rais wa nchi.. achenibujinga
 
Soma ulichoandika alafu andika tena, aliyewatuma mje kusifia kila kitu hata upuuzi ametuma madebe matupu yanapiga kelele hakuna hoja
Tunasifia yaliyowashinda wenye mijusi kwenye suruali,mama huyooo kawa outshine..

Ni aibu awamu 5 zote zilizopita eti zilinunua MRI machine 2 tuu ,mama kwa mpigo ananunua 9.

Ni aibu watoto wa Shule kukaa chini na kuanza shule kwa mafungu kama nyanya,mama amefuta huo ujinga mwakani hakuna tena huo upuuzi.
 
😆😆😆 Kwaiyo mmeanza kutukana mpaka wazee wenu ina maana hata shujaa wenu naye ni fala🤣🤣
 
Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.​

" Hakuna kama Samaia "​

Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,

IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.

Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

14|10|2021

Kesho Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge karibu sana
 
Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_________________
 
😍😍😍😍 Mkuu mimi nimejitoa kuonesha kuwa hata yule waliomdharau kumbe ni bora zaidi,

Wacha tuendelee tu kwani tusiposema sisi hata mawe yatasema hii kazi nzuri na kubwa ya Rais Samia,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi
 
Back
Top Bottom