Rais Samia atoa Tsh Bilioni 1ili Taifa Stars wafuzu Kombe la Dunia

kwakina itafakari

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
599
1,179
Ingawa matokeo ya leo yamenisikitisha sana, ila naona sawa tu tulivyorabuliwa na wakongo.

Maana kama tungeshinda,CHAWA wa term hii ya uongozi wasingechelewa kuja na thread kama ;

RAIS SAMIA ANAUPIGA MWINGI KATOA BILLIONS OF DOLLARS ZA TOZO ILI STARS WAFUZU KOMBE LA DUNIA

VOETSEK chawa!!
 
tuko vizr kama umechek mpira utaona ..............tumeposses sana mpira kuliko congo, tumepiga shuti nnyng on target kuliko congo,......................tumecheza vizur SEMA HATUKUA NA BAHATI kwasababu,,,,,

1 congo inawachezaji wakali wanaocheza ulaya

2. uchawi congo hatuwawezi🤣🤣🤣🤣🤣
 
hahaha hizi siasa zitatutesa sana, yaan kila kitu kinapofanyika lazima watu tugawanyike tuombeane viharibike ili tupate kukosoa na kuponda, yaan mtu anaona heri tu timu ifungwe maana ikishinda labda rais atapata sifa duh! wabongo tumefika mbali sana aisee
 
[/QU

😅😅😅😅 mule mule
 
Mkuu me sijaombea kabisa Stars wafungwe leo,ila mawazo haya yamenijia baada ya game kumalizika,nafikiri zitakuwa hasira tu za kufungwa ingawa CHAWA wananikeraa😆😆😆
 
Nilisema Stars hawawezi kufuzu hizo hela bora wawatafute vijana waandae mkeka wabeti zinaweza kuzalisha trilions haya sasa nini kimetokea🐒

Mkuu uliona mbali sana,bora wangetupa hayo mapesa tukabetie tu ingawaje Stars amechana mikeka yangu yote
Buree kabisa hawa stars!!
 
Magufuli alipokua anagawa hela mlikua mnalalamika mnasema sio zake haya hizo mnazoita za samia ni zake ama kujipendekeza tu

#Pooovuuu
 
Back
Top Bottom