Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 760
- 1,444
Huyu mama aache utoto Sasa kwani hio kauli ina tatzo gani,
Utakuja kuelewa propaganda zinavyotumika kwenye siasa....Ukisikiliza hutuba yake nzima alimaanisha hayi mabango waende nayo ofisi kwake hata wakiandika matusi waende nayo kwake sio siku ya ziara ya Rais ..
Sasa sielewi kwanini watu wamekata kipande kidogo !!
Mmmh. Umenikumbusha kitabu kimoja cha zamani....'UJINGA WA MWAFRIKA'.....Siyo kwamba wamezipuuza ila watz wengi ni wajinga na wapumbavu!
Hivi unapuuzaje taarifa zitakazoathiri maisha yako kwa miaka zaidi ya 2 ijayo huku ukikomalia taarifa ya mtu mmoja ambae hana impact yeyote kwenye maisha yako? Kama si upumbavu ni nini hiki?
Inaitwa kusagiana kunguni kwenye siasa. Kama kina Musiba walivyomsagia kunguni KINANA na MEMBE hadi wakaita maji mmaa!Utakuja kuelewa propaganda zinavyotumika kwenye siasa....
Ila watz mna roho mbaya sana.Ally Happy ni kiongozi was kisiasa katika nafasi ya R.C, lakini amekwisha kabisa kisiasa na huku saiti kila mtu anam-ng'ong'a, huu ni mzigo Mh. Rais, usikubali kuubeba.
Atafutiwe shimo la kum-flash, ukienda Mara, huyu itakuwa embarrassment kwako, futa kazi huyu, CCM ina vijana wengi wenye hekima na busara ya uongozi,ni teuzi pekee ambayo inasemwasemwa vibaya
Kigumu chama cha mapinduzi
#matege
S2025
There is none! CCM hakuna, ebu taja wazuri kuongoza wenye busara na hekimaCCM ina vijana wengi wenye hekima na busara ya uongozi,
Aliyempa huo uhadhili alimpima akili kweli au teuzi za undugu.Alikuwa ni Mhadhili Msaidizi kwenye moja ya chuo kikuu kimoja wapo Mkoani Iringa. Ni maarufu sana Iringa kwa uimbaji wake wa nyimbo za Kihehe. Na ni Mnyalukolo wa kutokea Wilayani Mufindi bila shaka.
Watulie tu nao imepita zama zaoInaitwa kusagiana kunguni kwenye siasa. Kama kina Musiba walivyomsagia kunguni KINANA na MEMBE hadi wakaita maji mmaa!
Ally Happy ni kiongozi wa kisiasa katika nafasi ya R.C, lakini amekwisha kabisa kisiasa na huku saiti kila mtu anam-ng'ong'a, huu ni mzigo Mh. Rais, usikubali kuubeba...
With all those Processes / Procedures in place, still Mwendazake akaibuka na SabayaDoing your due diligence by using all the available resources at your disposal in order to get it right the first time.
The propaganda machine is at work...Josef Goebbels waziri wa propaganda na utamaduni Nazi Germany aliwahi kusema "Let me control the media,and I will turn any nation into a herd of pigs"Siyo kwamba wamezipuuza ila watz wengi ni wajinga na wapumbavu!
Hivi unapuuzaje taarifa zitakazoathiri maisha yako kwa miaka zaidi ya 2 ijayo huku ukikomalia taarifa ya mtu mmoja ambae hana impact yeyote kwenye maisha yako? Kama si upumbavu ni nini hiki?
Kijana ana stress ya maisha, maisha yamempiga anatamani watu wote wawe kama yeyeBadala ya ujadili bajeti unajdili Hapy?