Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

Nimemsikia akisema anaondoa asilimia 6 ya bodi ya mikopo Leo,sema ndo sijamuelewa anamaanisha nini😲🧐
Hiyo ni value retention fee, eti deni linakua kwa asilimia 6 kila mwezi sijui ni kila mwaka, yaani kadri unavyolilipa na lenyewe ndio linaendelea kukua, halipungui, maisha yote, mi sijawahi kulipa na sitalipa kabisa kwa mtindo huo
 
Ili mje kufidia kwa kukamua wafanya biashara, si ndio?
Screenshot_20210501-140650.jpg
 
Sasa hapo ni amepunguza nini? Au ametangaza na ongezeko la mishahara.
Ndo maajabu eti kuishangilia punguzo la asilimia moja,hiki Ni kituko au hawa wafanyakazi hawajielewi huwezi kuishangilia upuuzi ,amepunguza asilimia moja katka asilimia miamoja
 
Hapa ndio nyumbu zinakamatwaga. Mtu anapunguza kodi kwa kima cha chini tuu. Yaani mshahara wa kati ya 161,000 hadi 360,000 ndio umepunguza 1%. Hiyo mingine vipi? Alikuja meko na haya haya eti kapunguza kutoka 12% hadi, 9% watu wakashangilia kabisa. Wakati daraja moja tuu ndio anapunguza mengine anapandisha kufidia.
Kundi kubwa la wafanyakazi hawajielewi,unaakili timamu huwezi kuishangilia punguzo la asilimia moja
 
Sasa hapo ni amepunguza nini? Au ametangaza na ongezeko la mishahara.
Kwenye 8% ukipunguza 1% huoni afazali hapo.. Au wazani hio asilimia 1 imepunguzwa kwenye asilimia 100
 
Ndo maajabu eti kuishangilia punguzo la asilimia moja,hiki Ni kituko au hawa wafanyakazi hawajielewi huwezi kuishangilia upuuzi ,amepunguza asilimia moja katka asilimia miamoja
Toka asilimia 8 ....someni vizur jaman
 
Hebu piga hesabu ya hili ONGEZEKO. 500,000 x 1/100= 5,000. Hesabu rahisi ni kuwa kwa anayepokea 500,000/- atapata nyongeza ya elfu 5!

Vv
Wewe ndio kilaza kweli. Kwenye kodi unafikiri hesabu inapigwa hivyo? Kasome schedule za Income Tax Act ndio uje uongee hapa.
 
Back
Top Bottom