Rais Samia yupo kwenye orodha ya Jarida la "Time" la watu 100 wenye ushawishi duniani kwa mwaka 2022, toleo la Mei 23, 2022

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,248
7,881
Hii ni taarifa mbaya kwa "Haters" wa Rais Samia Nyani Ngabu, Nyankurungu2020, Mzee Mwanakijiji, Etwege, Idugunde, Suzy Elias, Beatrice Kamugisha

Screenshot_20220523-183047.png
 
Time 100 (often stylized as TIME 100) is an annual listicle of the 100 most influential people in the world, assembled by the American news magazine Time. First published in 1999 as the result of a debate among American academics, politicians, and journalists, the list is now a highly publicized annual event. Appearing on the list is often seen as an honor, and Time makes it clear that entrants are recognized for changing the world, regardless of the consequences of their actions. The final list of influential individuals is exclusively chosen by Time editors, with nominations coming from the Time 100 alumni and the magazine's international writing staff
 
Time ni jarida tu kama mengine, halina issue. Alafu sababu eti ni raisi mwanamke.
Influence is hard to measure, and what we look for is people whose ideas, whose example, whose talent, whose discoveries transform the world we live in. Influence is less about the hard power of force than the soft power of ideas and example.

Yes, there are Presidents and dictators who can change the world through fiat, but we're more interested in innovators like Monty Jones, the Sierra Leone scientist who has developed a strain of rice that can save African agriculture. Or heroes like the great chess master Garry Kasparov, who is leading the lonely fight for greater democracy in Russia.

Or Academy Award-winning actor George Clooney who has leveraged his celebrity to bring attention to the tragedy in Darfur.
 
Influencing what? Who? How?....siku mtaacha huu ujinga wa vitu vidogo vidogo yawezekana mkaelewa mahitaji ya wananchi kuwa sio huo ujinga uliouweka hapo
Unabishana na Mimi au na Gazeti la Times?

Wewe mzembe hufanyi kazi, unategemea hisani ya shemeji yako aluyemuoa dada yako lazima uone maisha magumu mtaani. Kafanye kazi acha umama Kaka pembe
 
Unabishana na Mimi au na Gazeti la Times?

Wewe mzembe hufanyi kazi, unategemea hisani ya shemeji yako aluyemuoa dada yako lazima uone maisha magumu mtaani. Kafanye kazi acha umama Kaka pembe
Sisubirii kuambiwa nifanye kazi....naifanya tena zaidi yako.

Sifugwi naishi na watu na wanaishi vema kabisa.

Usidhani wote ni makapuku kama wewe keyboard warrior come on.
 
Sisubirii kuambiwa nifanye kazi....naifanya tena zaidi yako.

Sifugwi naishi na watu na wanaishi vema kabisa.

Usidhani wote ni makapuku kama wewe keyboard warrior come on.
Huna lolote, unaishi maisha duni sana hiyo inatokana na comments zako. Mtu maskini utamuona tu full kulalamika
 
Kamuinfuluence nani,kwa kipi alichokifanya?

Raia anapaswa asifiwe Tanzania ama Marekani?

Kwamba wamarekani ndio watuambie rais wetu ni influencial wakati sisi hatujui kitu kama hicho?

Ndio maana nchi hii ya hautakaa iendelee, ina watu wasengerema wengi sana
 
Influencing what? Who? How?....siku mtaacha huu ujinga wa vitu vidogo vidogo yawezekana mkaelewa mahitaji ya wananchi kuwa sio huo ujinga uliouweka hapo
Alafu huu ujinga alituanzishia magu bogaz yule imekua ndio tabia ya wengi, miaka ya nyuma huu ujinga haukuwepo
 
Jarida Maarufu Dunia la TIME limemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa Viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa Duniani. Katika Jarida hilo aliyekuwa Rais wa Kwanza Mwanamke nchini Liberia Bi. Ellen Johnson Sirleaf amemuelezea Rais Samia kama mwanamageuzi anayependa demokrasia na maono ya mbali kwa Taifa lake na Afrika kwa ujumla.
IMG_20220524_091247_994.jpg
 
Back
Top Bottom