Rais Samia ashiriki sherehe za kilele cha tamasha la Kizimkazi Zanzibar

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,727
141,592
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anashiriki katika kilele cha tamasha la Kizimkazi linalofanyika Zanzibar.

Tukio hili liko mubashara TBC, ITV na Channel ten.
 
Swaga za chatto kwishneii babujii saivi twabonyeza kizenjiii... Daaaaadeck!!
 
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anashiriki katika kilele cha tamasha la Kizimkazi linalofanyika Zanzibar.

Tukio hili liko mubashara TBC, ITV na Channel ten.
asiongee jmn hakawii kuleta sintofahamu... mara kinaflani hawana matiti,mara flani alikimbia kesi,mara machoyangu yamelegea... nishigda
 
Asisahau kupita kwao Mchambia dole wima.....karibu makunduchi....arejee kudemka bara 2025 tumsulubu
 
Mama NCCR wamezuiliwa kufanya mkutano juzi ulisema polsi wasitumie nguvu, intelejinsia haifanyikazi kwa waalifu inafanyakazi kwa wanasiasa tu?
 
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anashiriki katika kilele cha tamasha la Kizimkazi linalofanyika Zanzibar.

Tukio hili liko mubashara TBC, ITV na Channel ten.
Naona kulikuwa na watu wengi. Imefana. Nina maswali mawili matatu. Je, kuna mtu amekufa? I mean, kauliwa na jambazi? Au polisi? Hakuna. La pili, je kuna mtu amemtukana Rais, au Polepole? Magufuli? Kikwete? Bashiru? HAKUNA. Je, kulikuwa na vurugu zozote? Ngono hazarani? Kuna mtu labda amekwazika vyovyote vile kinaadili? Au kelele? Au vurugu? HAKUNA.

Hapo hapo kulikuwa na semina ya katiba mpya Ilala, msemaji mkuu Sheikh Ponda, Heche, Chacha, Mwita, Marwa, Mrema, Tesha, Mbatiya, Minja, na Mbowe mdogo. Vyombo vingeleta salamu za tundulissu, Askofu wa Moshi na Balozi wa Ubelgiji. Mungubariki lakini, haikufanyika.

Zingefanyika, je, pangetokea nini? Watu wangekufa misukumano, nguvu, majibizano na polisi, watoto wangebakwa, ngonohuru. Matusi ya nguoni na ya rejareja. Angetukanwa Rais, Waziri Mkuu, IGP, Mufti, Kikwete, Karume, Nyerere, "Mwendazake".

Kama wewe ni raia wa kawaida ungependelea ipi? Kama wewe ni Polisi mpiganaji mlinda amani, which fo you prefer? Kama wewe ni Rais, ni ipi ungependelea? Kumbuka haya yote yangerushwa mubashara hadi Radio 1 na Denmark na BBC na CNN.
 
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anashiriki katika kilele cha tamasha la Kizimkazi linalofanyika Zanzibar.

Tukio hili liko mubashara TBC, ITV na Channel ten.
Huo ni utaratibu wake wa kazi sio habari ya kutuletea huku.
 
Back
Top Bottom