Rais Samia ashinda tuzo ya kuendeleza Sekta ya Miundombinu Barani Afrika

Reli ya SGR sio uanzilishi wake,kwenye mwaka wake mmoja hajajenga barabara mpya hata 10km!!!

Madege aliyopokea yalilipiwa na hayati,miundo mbinu pekee aliyofanya ni kujiandaa kugombea 2025 na kumfukuza spika kama kibaka wa manyanya!!
Wakati yakifanyika hayo yeye alikuwa mpishi wa hotelini ama MAKAMU WA RAIS?!!!!
 
Africa kwa nini vitu vingi huwa kinyume na uhalisia?uongo ndio mbinu kuu kisiasa na waongozwaji wanadanganyika au ni uoga?!
 
Inasikitisha Sana...wanaotoa fedha wanafahamu kinachoendelea, waliopo ndani ya nchi hamfahamu chochote sababu tu hampendi kusikia mazuri yanayofanyika. Mmeziba masikio.

Mpaka anafariki JPm kulikuwa na mkataba wa ujenzi wa reli Dar-Moro- Dodoma.

Kabla ya hapo kulikuwa na usanifu na upembuzi yakinifu pamoja na upatikanaji wa fedha. Huu ndio msingi wa ujenzi wa reli. Huyu ni Jakaya

Mama Samia ameshaingia mikataba ya kujenga reli na Waturuki na Wachina toka Dodoma-Singida-Tabora-Mwanza pia kwenda Kigoma-Burundi -Rwanda.

Mama Samia ameingia mikataba ya kununua vichwa na mabehewa ya mizigo na abiria,vimetajwa hapo.

Mikoani ujenzi wa Barabara unaendelea kila mkoa na uzuri watu wanatoa ushuhuda humu. Hata zile zilizosimama baada ya JK kutoka madarakani zimeanza kutengenezwa tena.
Punguza kujipendekeza ndugu.

Acha unafiki wewe, kama wewe uishiko kuna barabara ya lami endelea kutoa ushuzi ila nakuambia stop this nonsense!!

Rais wa nchi yuko busy na vijembe na kulipiza visasi na chuki kwa mtanguliizi wake atajenga bara bara saa ngapi????

Rais kila apatapo jukwaa kazi yake kumnanga mtanguliizi wake huku wananchi tunaumia???? Tunafaidika nini na masifa yenu ya kijinga mnayoyatoa??????

Wewe kama unalamba asali shukuru MUNGU na kaa kimya wenzako tuko huku tunapumlia mashine hatuna hata mizinga ya nyuki na hatujui kama katika uhai wetu tutabahatika hata kukutana na nyuki was asali kama siyo kukutana na nzi tu wanaotusogelea miilini mwetu kwa sababu ya chakula tunachokula.

Inaumiza sana,mshukuru MUNGU wewe unamaisha mazuri , ungeona watu tunavyohangaika usingekuwa unaandika upumbavu wako hapa. Familia zinavunjika kwa baba kukosa kutoa mahitaji, kila sehemu hali imekuwa mbaya, wababa wanakimbia familia zao kisa ugumu wa MAISHA then you're here provoking that nonsense?????????????

Mungu yu pamoja nasi!!
 
Itachukuwa miaka kumi kuutengeneza uchumi ulioharibiwa na marehemu Mwendazake.

Zaidi kipindi anamsimanga mtangulizi wake mlikuwa mnafurahia. Sasa hivi yeye yupo kaburini anaendelea kusutwa! Ajabu..Maumivu mnayapata wafuasi wake!
 
Back
Top Bottom