Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika serikali yake.

Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabafiliko yatakayoleta Umoja wa kitaifa.

Source TBC!
Hakusema wapinzani tu kasema raia yeyote,kwani hata siasa za vyama ni kwa wachache.
Kuna watu wenye uweledi hawana kondokodo za vyama.
 
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.

Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.

Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania

Asante sana mama hii ndiyo aina ya viongozi tulikuwa tunawasubiri.

Tanzania tulisha zoeshwa huchaguliwi hadi ujikombe, urambe viatu vya mteuzi uukane ukabila wako ndio upate teuzi.

Sipati picha leo hii wale mataga, chawa, sukuma gang watalala wapi masikini.
 
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.

Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.

Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania

Hapo sawa kabisa maana Kuna watu wengi wazuri kiutendaji ila hawapewi nafasi kisa tu itikadi za siasa
 
Mama nakuona kweli umedhamiria kuliunganisha taifa na kuleta maendeleo ya kweli. Nimesikiliza hotuba yako kwa wazee wa Dar es salaam nimeipenda mno, nakushauri kama itakupendeza muite Tundu Lissu na umteue awe mwanasheria mkuu wa serikali. Pia mimi niteue niwe CAG.
 
84 Reactions
Reply
Back
Top Bottom