ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,160
- 706
Daah,
Hakika Rais Samia anahitaji pongezi sana,
Mungu ambariki rais wetu tunamuombea,
Hakika Rais Samia anahitaji pongezi sana,
Mungu ambariki rais wetu tunamuombea,
Watu wengi wamezikwa kwa kushindwa kumudu hizo gharama, ugonjwa wa figo usikie tu, kuna hospitali unakuta gharama 350,000 kwa siku inabidi mtu asafishe damu mara 3 kwa wiki hiyo ni 1,050,000 na kila akiingia ni masaa 4, akitoka hapo yupo chakari hawezi kufanya shughuli yoyote ya kuingizia kipato angalau yapunguze machungu ya gharama za matibabu, bado diet special...kuna watu wanapitia mateso aisee acha tu !