Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

ID za kimkakati sasa ndo hizi zenyewe kutwa kusifia humu
kuanzia asbh mpaka asbh ya kesho yake ni

Mama
Mama
Mama
Mama
Mmama
Mmaaaaa
khaaaaaaaaa!!
 
Suluhisho ni bima ya afya kwa kila mtanzania hapo ndio ntaamini hangaya bado hajachoka anazipiga ndefu ndefu ...auze hata mabombadia ma tano tupate bima mzigo auweke nssf

Soma huu uzi mkuu,

ID za kimkakati sasa ndo hizi zenyewe kutwa kusifia humu
kuanzia asbh mpaka asbh ya kesho yake ni

Mama
Mama
Mama
Mama
Mmama
Mmaaaaa
khaaaaaaaaa!!

Kosa letu liko wapi?

Kwa kazi kubwa kama hizi anazofanya Rais Samia,

Hata kama tukaamua wote kukaa kimya kama unavyotaka hakika "Mawe Yatasema "
 
Soma huu uzi mkuu,

Jee mpangilio utakuwaje kila mtu atapata au ni makundi maalum
 
Duh asiyeshiba kwenye sahani hata ukimpa kwenye sinia hato shiba...yaani gharama kupunguzwa toka laki tisa (900000) kwa wiki hadi laki tatu (300000) hata japo kusema afadhali huwezi.....mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kwa hili kama ni kweli nampongeza Rais Samia
Mkuu inatakiwa iwe 10,000 tshs,haujauguza mgonjwa mpaka akafikia hatua hiyo ndio maana unatoa mifano yako ya mivyakula.
Mimi nimeuguza na nimeshazika,naongea kitu nimepitia. Endelea kula kwenye hilo sinia na ushukuru
 
Pole sana ndugu...japo sijauguza mgonjwa kufikia hatua hiyo lakini kwa hali ya kiapato changu bado naweza kuhisi maumivu uliyopitia..pole sana...na pole kwa kutonielewa kwa mfano wangu wa sahani na sinia, maana yangu ilikuwa asiye ridhika kwa kidogo hata ukimpa kingi hatoridhika..lakini pia sijasema kuwa hapo alipofikia Rais Samia ndio panatosha...tukubali tu ni mwanzo mzuri kuelekea hiyo Tshs 10,000 ameahidi ataleta mashine 7000 kama kweli na sikifika huenda tuakafika huko kwenye Tshs 10,000 na pengine hata buree kabisa. Kwa mara nyingine tena nikupe pole sana kwa kupoteza mpendwa wako...na apumzike kwa Amani.
 
Kwani yeye ndio wakwanza kutawala Tanzania?

Mbona hatukuwa na hizo dialysis machine?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,
Utajikomba hadi urambe miguu lkn uteuzi hupati kamwe
224688661.jpg
 
Pole sana ndugu...japo sijauguza mgonjwa kufikia hatua hiyo lakini kwa hali ya kiapato changu bado naweza kuhisi maumivu uliyopitia..pole sana...na pole kwa kutonielewa kwa mfano wangu wa sahani na sinia, maana yangu ilikuwa asiye ridhika kwa kidogo hata ukimpa kingi hatoridhika..lakini pia sijasema kuwa hapo alipofikia Rais Samia ndio panatosha...tukubali tu ni mwanzo mzuri kuelekea hiyo Tshs 10,000 ameahidi ataleta mashine 7000 kama kweli na sikifika huenda tuakafika huko kwenye Tshs 10,000 na pengine hata buree kabisa. Kwa mara nyingine tena nikupe pole sana kwa kupoteza mpendwa wako...na apumzike kwa Amani.
Asante ndugu yangu na umeeleweka sana . Gharama kubwa za hospital zinaua sana wapendwa wetu.Imagine mgonjwa anawaaga kabsa wenzake wanaokutana clinic kwamba hii ndo mara yangu ya mwisho kufanyiwa naenda kufa nimeishiwa pesa.Na kweli mtu anaenda kufa .We yaskie tu kwa watu
 
MY bro | sr,

Unataka niteuliwe niwe nani zaidi ya nilivyo Sasa?

Kumbe wewe unatukana na kukashifu ili uteuliwe?

Kumbe unapinga huu ukweli wa Rais Samia kufanya makubwa ili Mimi nisiteuliwe!

My friend sifa ya kupata baraka nikukubali baraka za Mungu kwa wengine kubali ukweli kuwa Mungu amembariki Rais Samia,

Tukubaliane Rais Samia ni level nyingine,

Utajikomba hadi urambe miguu lkn uteuzi hupati kamweView attachment 1951912
 
MY bro | sr,

Unataka niteuliwe niwe nani zaidi ya nilivyo Sasa?

Kumbe wewe unatukana na kukashifu ili uteuliwe?

Kumbe unapinga huu ukweli wa Rais Samia kufanya makubwa ili Mimi nisiteuliwe!

My friend sifa ya kupata baraka nikukubali baraka za Mungu kwa wengine kubali ukweli kuwa Mungu amembariki Rais Samia,

Tukubaliane Rais Samia ni level nyingine,

Utaishia kuramba miguu tu wakati hata uhakika wa kupata mlo mmoja kwa wazazi wako kwenu huko mbwinde hawana.
 
Back
Top Bottom