Hakuna Rais niliyempenda Tanzania kama Hayati Dk. Magufuli kama nilivyowapenda pia akina Nyerere na Mkapa kwani Wote hawa Watatu walibarikiwa mno Maarifa, Maono na Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu.

May all of them Rest In Peace.
Magufuli alikuwa bora liende tu
 
GENTAMYCINE dah skujua Kama una upeo mdogo kiasi hiki, unakumbuka kipindi Tanzania inapata Uhuru nkuruma alimtuhumu nyerere kwa kung'ang'ania mfumo wa kijeshi wa kikoloni.? Hata alipo taka kupinduliwa nyerere alienda kwa malkia kuomba msaada.?

Kifupi nyerere alikua ni mtu wa kujipendekeza labda kwa baadae ndo alikuja kuvunja mahusiano ya ki diplomasia Kati ya marekani na uingereza.

Mwenye hiyo orodha yako mtoemo nyerere.
Mzee Saidi umefungua account mpya?
 
Hakuna Rais niliyempenda Tanzania kama Hayati Dk. Magufuli kama nilivyowapenda pia akina Nyerere na Mkapa kwani Wote hawa Watatu walibarikiwa mno Maarifa, Maono na Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu.

May all of them Rest In Peace.
Mkapa mtuo
 
Nadhani mmemuona Rais wa Marekani alivyoingia na gari bunafsi nahisi kama ilisafirishwa mapema kabla yeye hajaenda kama Ilivyo hadi yao.
Sasa mnataka kulinganisha kweli na Marais wetu wa Africa inayowanyenyekea !! Badala ya kupanga jambo la maendeleo ninsafari tuu.
Angalia viongozi wote wawili wa ngazi ya juu kabisa wametoka!! Haya yalifanyika awamu ya 5!??
Imagine viongizi wawili wakuu wa nchi hawapo kwanini watu waliobaki wasile Kwa urefu wa kamba zao?
 
Tumetukanwa, tumedhihakiwa, tumechoreka na tumedharauliwa maradufu ya walivyotudharau walipokuwa Wakoloni wetu.

Hakuna comment iliyoniuma GENTAMYCINE kama hii isenayo "....Nyani njiani Kutalii Jiji la London ili Wakastaarabike wakirejea Makwao Maporini..... "

Na kuna Mwingine 'Kazumu' Bichwa la 'Hustler' na 'Chogo' chemba lake kisha akasema Nyani akitafakari jinsi atakavyoidaka Ndizi yake.

Na kuna Rais mwingine sijamwona na kumtambua vyema ila amekaa kama dirishani mkono kauweka Usoni huyu kuna Mzungu Mmoja 'Kakomenti' kuwa Nyani akiona Aibu kupigwa Picha.

Kifupi huko Mitandaoni kwa Wazungu leo Neno la Nyani limetumika na kupata Mashiko mno na natamani sana nami niwajibu kwa Hasira, ila tatizo sijui Kiingereza hivyo nawaombeni mnaokijua nanyi muwafuate huko mkawajibu Wasomi wenzenu.

Mkiambiwa siyo kila Tukio muwe na Kiherehere nalo Kwenda Kulihudhuria muwe mnatuelewa matokeo yake mmezikimbia Nchi zenu kwa Malalamiko ya Wananchi wenu juu ya Hali Ngumu ya Maisha na kwenda Kupumzisha Akili London matokeo yake Mmesanifiwa kwa kupakiwa pamoja kama Ndizi za Mgeta Morogoro na Kutudhalilisha hadi Wenye Akili Kubwa mliotuacha huku Barani Afrika.
 
Just imagine sheria za nchi kuhusi taasis ya urais wameivunja bila.kujali, meaning wanauwezo wa kumwambia Amiri jesho yetu mkuu chochote bila madhara yoyote ya kidiolomacy kwao...Hiyo precedence iliyowekwa leo na hiyo familia na nchi yao kama dunia isipolaani haitakuwa poa kabisa na sisi taasisi yetu ya urais ijifunze, isirudie kosa kama hili hata siku moja na watuombe radhi wananchi kwakutushushia heshima ya Jamhuri yetu.

Hivi huyu marehemu hata ingekuaje angeweza ku compromize u malkia wake kwa sekunde hata moja? Ingeashiria nini kwa Kingdom yao?
Nafikiri hii kitu umeielewa na kuiweka vizuri sana. Kuna mamtu yapo bize kuwatetea hao waliovunja protokali ya mkuu wa nchi kwa kisingizio eti mbona na viongozi wengine wa nchi wamefanyiwa hivyo. As if uthamani wa taifa letu pamoja (na viongozi wanaopaswa kulinda thamani hiyo) una ubia na nchi zinginezo.
 
Nyie wajengewa vyoo mnauthamani gani WA kuwapanga host wenu jinsi ya kuwahandle ?
How dare you ? Mmelazimishwa kuhudhuria ?
Unazidi kuonyesha uhalali wa hoja yangu bila hata wewe mwenyewe kujishtukia. Hizo sababu ulizozitaja ndizo hasa sababu za msingi za akina Samia kupandishwa basi. Mwingreza amewapimia thamani yao na kuona wanafaa basi. Kwa upande mwingine upo sahihi: viongozi wanaojielewa thamani yao aidha hawajaenda au hawakukubali kuwekewa masharti.
 
Back
Top Bottom