Rais Samia aondoka kwenda Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Museveni

Mama anatakiwa kusafiri safari zenye tija kwa taifa kwenda Uganda ni kete nzuri kibiashara kati ya Tanzania na Uganda kwa jicho la mbali tumeshawateka Kenya sasa tunatakiwa kuwateka Uganda Rwanda na Burundi then Congo na zambia.

Mama ashauriwe vizuri aanze kuwashawishi Rwanda kuunganisha reli ya SGR na kigari kutoka mpakani.

Msumbiji tayari maana mradi wa gesi waaamishia mtwara.

Katika kipindi ambacho tunatakiwa kujikita kwenye ujasusi wa kiuchumi na kuachana na ujasusi wa kidora ni sasa.

Baada ya miaka 10 tukijipanga kiuchumi na kiuwekezaji tutakuwa ndio nchi yenye uchumi mkubwa east and central Africa.
Anaogopa kuondoka asije akashindwa kurudi. Anyways M7 atampa hata ukuu wa majeshi tena.
 
Nakumbuka niliona bango pahala kuwa atakuwa mgeni rasmi kwenye siku ya kitaifa ya wauguzi nafkiria n manyara Tena itakuwa tar 12 sijui au nimekosea ndugu zangu?
IMG_20210512_150205_8.jpg
 
Back
Top Bottom