Wana bodi.
Kama wale watafiti wakija kuwahoji wananchi kuhusu furaha yao kwa sasa,hakika hatutakuwa wa mwisho tena,tutakuwa miongoni mwa nchi tano zenye furaha Duniani.
Sasa kwa maoni yangu,Huu muhula Rais Samia kaudakia katikati,lakini ni.moja ya Viongozi bora kuwahi kutokea.
Hapendi ujinga,sio mshamba,leo NGOs zimeanza kuimarika,watumishi wanamatumaini makubwa,Chama cha Mapinduzi kwa sasa kimepata kiongozi bora na anaewasikiliza wanachama.
Rais Kaagiza vyombo vya habari vifunguliwe, na sasa tunaona aia Mwema na Magazeti mengine yanafanya kazi kwa uhuru ,hata Magazeti yaliyofungiwa leo yamefunguliwa.
Vyama vya siasa vitaanza kufanya mikutano ya hadhara pamoja na shughuli za kisiasa bila vikwazo kama ilivyokuwa kabla
Rais Samia aongezewe muda ili aweze kutekeleza mikakati yake,anatupeleka kuzuri kuliko ilivyokuwa.
Leo Account zote zilizofungwa na Mamlaka kwa baraka kutoka juu Rais Samia kakataa,haamini katika Dhulma.
Rais Samia kalifungua Bunge Minyororo,na kuwakemea wabunge kuacha tabia ya kujadili watu na badala yake wajabdili maswala ya wananchi,yote haya Rais anaelekeza kwa maslahi ya taifa.
Rais anavuka mstari na kuwataka wabunge kuishughulikia Serikali yake bila woga,wabunge wasikubali majibu yasiyoridhisha ya Mawaziri wake,leo kila Mmoja ni shuhuda wa namna wabunge wanavyoanza kuusema ukweli walioishi nao vifuani kwa miaka 6 iliyopita.
Hata Spika wa Bunge anathubutu kukosoa Serikali wakati ni yeye alietumika kuwanyamanzisha wabunge kwa kuwafukuza Bungeni.
Haya yote yanahalalisha Madai ya Rais Samia kuongezewa muda wa kusalia Madarakani kwa Spirit ileile ya Mwendazake kuongezewa muda.
Wote walioshupalia Mwendazake Kuongezewe Muda wa switch kwa Samia Kuongezewa muda.
Hata hivyo tunashauri teuzi za Rais Samia zizingatie uwezo wa mtu na sio kulipa fedhila,Wapo wakuu wengi wa Wilaya hawajui hata uongozi ni nini lakini waliteuliwa kwakuwa wanavaa nguo za Kijani.
Rais Samia unayo support kubwa ,tutumikie kwa uadilifu.