Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

Ni kodi za watanzania ndizo zinazojenga!

Anaendelea utekelezaji wa ilani ya Mwenyekiti wa CHAMA Tawala aliemrithi na huyo alikuwa mwanzilishi wa speed iliopo!!

Achana na hayo kazia hii Hapa;-

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato ukamilike"
Hapo safi sana exactly kiongozi katiba muhimu sana..
 
Back
Top Bottom