Ndio ni sahihi kabisa, kama Rais na mwenyekiti wa CCM ambaye alichafuliwa na gazeti kwanini asitumie huu wakati kusahihisha mambo?

Mama 2025
 
Ni zamu ya wanawake sasa; tuwaunge mkono; wanaume tumeongoza kwa miaka 60 inatosha. Ni zamu ya wanawake kuonesha mabadiliko ktk nchi yetu. Msiwaonee wivu na msilalamike
 
Mwambieni mama hao wanawake ni wake zetu siku hiyo watabaki nyumbani kuhudumia familia
 
Wakati Rais akiwa na maongezi na mkuu wa wilaya ya temeke, alitonya kwamba atagombea tena mwaka 2025; hiyo ni kuanza kujitanganza kuwa ni mgombea wa 2025. Ili kuwa na haki kwa wagombea wa vyama vyote, inabidi nao waruhusiwea kuanza kujitangaza.
Vyama vya upinzani bongo vipo tu kwa ajili ya kuifanya serikali ionekane ya kidemokrasia, lakini zaidi ya hapo, hii ni nchi ya chama kimoja.
 
Vyama vya upinzani bongo vipi tu kwa ajili ya kuifanya serikali ionekane ya kidemikrasia, lakini zaidi ya hapo, hii ni nchi ya chama kimoja.
Ni kweli Mkuu, hatuna mbadala wa CCM kwa sasa, wapinzani JPM aliwaexpose kabisa udhaifu wao, kama kuna watu wangeacha uoga ile 2015 CCM leo ingekuwa historia
 
Ni kweli Mkuu, hatuna mbadala wa CCM kwa sasa, wapinzani JPM aliwaexpose kabisa udhaifu wao, kama kuna watu wangeacha uoga ile 2015 CCM leo ingekuwa historia
Tatizo ni kuwa Lowasa alikuwa mamluki
Lakini angetangaza watu kuaandamana haelewi yale matokeo uwezo wa kuandamana watu walikuwa nao kwa wakati ule


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wakati Rais akiwa na maongezi na mkuu wa wilaya ya Temeke, alitonya kwamba atagombea tena mwaka 2025; hiyo ni kuanza kujitanganza kuwa ni mgombea wa 2025. Ili kuwa na haki kwa wagombea wa vyama vyote, inabidi nao waruhusiwea kuanza kujitangaza.
Waruhusiwe, na nani? Kwani CCM wameruhusiwa? 😄😄 Ujinga ni kufuata sheria au utaratibu dhidi ya asiyefuata utaratibu ai sheria. Kimsingi, sio ujinga tu, bali ni Upopoma kabisa
 
Vyama vya upinzani bongo vipo tu kwa ajili ya kuifanya serikali ionekane ya kidemokrasia, lakini zaidi ya hapo, hii ni nchi ya chama kimoja.
Umenyoosha sana mkuu. Huu ndio ukweriii japo wengi hawapendi kuusikia, nchi ya chama kimoja tu. Kama mbeleni kutakuwa na mabadiliko ya kiuongozi nchi hii, hayatatokana na vyama vya siasa.
 
Katiba inahitajika na Ni muhimu Sana kwa umoja na ustawi wa taifa letu.
 
Ni kweli Mkuu, hatuna mbadala wa CCM kwa sasa, wapinzani JPM aliwaexpose kabisa udhaifu wao, kama kuna watu wangeacha uoga ile 2015 CCM leo ingekuwa historia
Mmmmm Uoga sio!hopes mchangiaji mwenzangu ulijaribu to show the way!!
 
Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke atakayepitishwa hivyo kwa kukuwa yeye ni Mwenyekiti wa chama mapinduzi, wanaume wote waliotamani kugombea nafasi ya Urais 2025 kupitia chama hicho waanze kutafuta kazi nyingine yakufanya vinginevyo Mwenyenzi Mungu afanye miujiza.

Kwa upande wa pili, kauli hii haiwezi kuwa na nguvu upande wa upinzani kwa sababu wao bado wanao mfumo wao wakupata wagombea Urais. Mfumo huo haufungwi na kauli za Rqis, lakini pia kwakuwa ametangaza adharani na kwa nafasi yake maana yake kampeni za uchaguzi 2025 zimeanza rasmi leo.

Nasema zimeanza rasmi leo kwa sababu muda si mrefu kila atakayekuwa anasimama jukwaani atakuwa anampigia chapuo mwanamke wa 2025, hii kauli ni maelekezo kwa Mawaziri ,wabunge wa CCM na wengine wote ambao wanaishi kwa kasababuu ya uteuzi qa Rais na serikali iliyopo. Kampeni hizi naamini na natabiri zitamabtana na nyimbo, zitaambatana na matangazo kwenye vyombo vya habari na zitaambatana pia wale wanaopinga agizo hili au wanaoonekana kutaka kuwa na nguvu zaidi ya mwanamke kuwajibishwa.

Ni muda Sasa vyama vya upinzani navyo kuanza KUJIANDAA kuanzia ngazi ya mtaa kuwashawoshi wapiga kura ambao kwao wao hawachagui jinsia Bali wanachagua kiongozi. Kwamba tuchague jinsia hii haitaweza kuwa agenda kwa wananchi 2025 Bali agenda itakuwa maji, elimu, demokrasia, katiba, afya na mapambano ya tozo zinazouma.

Kuendelea na kauli mbiu ya kuacha siasa tufanye maendeleo wakati upande mmoja unafanya siasa na kuandaa wagombea pamoja na kuwanadi nikuendeleza ukandamizaji ambao haitakuwa na tija kwa Taifa Bali utakuwa na tija kwa huyo Mwanamke anayeamini kupata urais bila democracy.
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. Kwanini Beatrice Kamugisha unamchukia mwanamke mwenzio kiasi hiki?
 
Wanaume tujiangale eti tusifanye masihara tukawa legelege
Wanauliza - watatuwezaaaaa
Wanaitika - hawatuweziiiiii

*Kweli sisi wanaume hatuwawezi wanawake?
*Wanasema sisi ni majirani KWELIII!

Adam alikabidhiwa dunia na Mungu atawale kilakitu kisha akafanyiwa msaidizi wake!! Leo msaidizi anatuita sisi wenyedunia MAJIRANI?

Wanaume tujipige vibao tumebaguliwa sana Leo

Kwa niaba ya wanaume tunaojitambua ninakemea vikali kitendo cha wanawake kushindana nasisi,nakemea pia kutuita sisi majirani sisi ni wenyenyumba majirani ni kenya,Uganda nk. Tabia hiyo ikome kabla sijakasirika ala!!! Hatuwezi kuwa na nchi ya kusutana. Tunakwama wapi? Leteni katiba mpya chapu tunapokwenda sio
Mkiambiwa hawa viumbe sikuhizi ni damu ya tofauti na mama zetu hawanaga shukurani hamuamini.

Wao kuwa hapo ni huruma na ruhusa ya jamii halafu wanaanza maneno ya kebehi na dharau. Mimi upuuzi wa maswala ya fursa sawa za kijinsia sitaki hata kuusikia maana umeleta madhara makubwa kuliko faida.
 
Ni zamu ya wanawake sasa; tuwaunge mkono; wanaume tumeongoza kwa miaka 60 inatosha. Ni zamu ya wanawake kuonesha mabadiliko ktk nchi yetu. Msiwaonee wivu na msilalamike
Akili za kike hizo. Mwanaume unakuwaje na pigo za kimdundiko hivi .... Nyie ndio mnatuletea hii misotojo ya kiwaki hii .......
 
Nchi hii ni ya hovyohovyo tu ie mtu unapigana huku mpinzani wako umemfunga mikono alafu unashangilia ushindi
 
Back
Top Bottom