Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,036
- 3,479
Suala wasizuie mikutano ya kisiasa kwa vyama vyote hata kama kuna tishio la UVIKO-19 haijarishi mbona wao wanakusanyana mpaka wanapakazana majasho?Kama ni sahihi ninafikiri basi katika ngazi zote hizo za uongozi watu waanze kufunguka! Ni muda muafaka akina Mwigulu, Polepole, Lusinde, Musukuma, na wapenda madaraka wengine kujitangaza kuwa watagombea mwaka 2025. Au ninakosea waungwana?
"Mie ni MCCM lakini nina uhakika Mbowe sio Gaidi!"
Huyo mama ameanzisha vita ambayo ndio itakayo mfanya aone jua linatokea magharibi kuelekea mashariki