Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Lumumba mwenzako lkn yeye yupo kwenye kundi pendwa sana la sukuma gangMkuu ,tafuta HELA.
Tumebakiza siku 53 mwaka uishe.
Ustangukize mihemko sana kwenye vitu usivyo vijua.
Lumumba mwenzako lkn yeye yupo kwenye kundi pendwa sana la sukuma gangMkuu ,tafuta HELA.
Tumebakiza siku 53 mwaka uishe.
Ustangukize mihemko sana kwenye vitu usivyo vijua.
Mimi sina chamaLumumba mwenzako lkn yeye yupo kwenye kundi pendwa sana la sukuma gang
Toaneni macho na meno maana wote ni ukoo wa nyokaHuna hakika
Ndiyo ndiyoooo,ndimi.Lumumba mwenzako lkn yeye yupo kwenye kundi pendwa sana la sukuma gang
Sasa unabisha nini wakati woote mnalipwa buku 7 pale lumumba?Una hakika sina pesa?
Migambo wanaruka na kukanyaganaMimi ninaona una MIHEMKO tu.
Kihistoria kabisa maana kwa kishindo cha corona!!!!Nimekwambia ni sherehe za kihistoria!
Sawa ndugu yetu ambaye pia ni mpwa wake na ndugu yake mastermind wa magaidi yote yaishiyo Kili na Tanzania nzima.Sukuma gang mna wakati mgumu sana.
Tunakujua tu usiwe na shidaNdiyo ndiyoooo,ndimi.
Gaidi mkuu hapa nchini alikuwa ni Hamza mwana ccmSawa ndugu yetu ambaye pia ni mpwa wake na ndugu yake mastermind wa magaidi yote yaishiyo Kili na Tanzania nzima.
Kawadanganye MATAGA wenzakoMimi sina chama
Kwa heshima ya Mbowe acha nikunyamazieGaidi mkuu hapa nchini alikuwa ni Hamza mwana ccm
Sawa kamanda.Kawadanganye MATAGA wenzako
Corona inatibikaKwa heshima ya Mbowe acha nikunyamazie
Kawatafute kina Gwajiboy wafanye maombi ya kufufua walio kufaSawa kamanda.
Ingia barabarani Mwamba atoke Jela
...lini unawafufua wana ukoo waliokuwa?!Corona inatibika
Tuanze na ndugu zako...lini unawafufua wana ukoo waliokuwa?!
Very simple kila mtu avae barakora,,, hata wao wazungu wanakutana kwenye mipira disco, etcHuku akitamani kukagua gwaride la 9 December Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameingiwa na wasiwasi wa ni namna gani wazungu waliompa pesa za Covid watamchukulia endapo ataandaa kusanyiko takatifu la kiwango kile la watu.
Duru za kweli kabisa zinatabanaisha kuwa huenda maadhimisho ya sherehe za uhuru wa Tanzania yasiwapo kwa hofu ya waliofadhili mabilioni ya shilingi ili Tanzania ipambane na Covid wataghadhabishwa kwalo.
Maoni yangu;
Cha mtu ni mavi!