Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
Mkuu Jitombashisho, watu watakusanyika, wazungu hawawezi kutupangia mambo yetu9/12 ni historia iliyo bayana lakini mama anawahofia wazungu endapo atakusanya umati wa watu.
Mkuu Jitombashisho, watu watakusanyika, wazungu hawawezi kutupangia mambo yetu9/12 ni historia iliyo bayana lakini mama anawahofia wazungu endapo atakusanya umati wa watu.
Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika.Huku akitamani kukagua gwaride la 9 December Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameingiwa na wasiwasi wa ni namna gani wazungu waliompa pesa za Covid watamchukulia endapo ataandaa kusanyiko takatifu la kiwango kile la watu.
Duru za kweli kabisa zinatabanaisha kuwa huenda maadhimisho ya sherehe za uhuru wa Tanzania yasiwapo kwa hofu ya waliofadhili mabilioni ya shilingi ili Tanzania ipambane na Covid wataghadhabishwa kwalo.
Maoni yangu;
Cha mtu ni mavi!
Wenye hela hawako hivi.Una hakika sina pesa?
Huyo jamaa ana pesa za kutosha tuliza kalio hiloWenye hela hawako hivi.