Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

Mh alitamka hadharan pale dodoma kuwa Mama hakuwa chaguo lake..chaguo lake Ni Hussein mwinyi..ila wazee wakamwita wakamwambia utaenda na Mama..hakuweza kukataa..
 
Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli.

Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao waliibuliwa na kubebwa kwa 100% na Magufuli mwenyewe. Kumkana sasa Magufuli na siasa zake kabla ya kuwaomba radhi watanzania waliomizwa na utawala wa Magufuli huku Samia akiwa msaidizi na mshauri mkuu wa Magufuli, ni jambo la fedheha sana.

Yaani mabaya yote ya utawala wa Magufuli (kama ubabe, unyanyasaji, utesaji, wizi) wanasema yalikuwa ya Magufuli mwenyewe, lakini mema yote ya Magufuli (kama ujenzi, miradi, usimamizi, uwajibikaji) wanasema yalikuwa ya wote kwa umoja wao! Huu ni unafiki mkubwa.

Sote tunajua kuwa uchaguzi wa 2015 ulichezewa ili Magufuli aingie madarakani, na uchaguzi wa 2020 ulichezewa na Magufuli mwenyewe kwa 100% ili aendelee kukaa madarakani. Na Magufuli aliyafanya hayo yote kwa maslahi yake binafsi, maslahi ya CCM na maslahi ya wasaidizi wake. Leo hii watu wale wale kumkaanga Magufuli kisiasa ni jambo la ajabu sana.
Kwanini hawakusema hayo wakati Magufuli akiwa bado hai?
Kwanini hawakukaa hata pembeni ili kukwepa kushiriki dhuluma aliyotendwa na Magufuli?

Yaani leo hii Magufuli amegeuzwa na CCM ya mama Samia kuwa dampo la kufichia uchafu wote wa kisiasa unaonuka wa CCM uliofanywa na CCM na serikali yake tangu 2015-2021. Hii hatari sasa.

Ilitosha sana kwa mama Samia na CCM yake kuja kwanza hadharani kuwaomba radhi watanzania kwa utawala mbovu wa Magufuli uliokosa aibu, utu na haki, kisha kutafuta maridhiano ili ukurasa mbovu wa utawala wa Magufuli ufungwe milele katika taifa letu.
Ukiona hivyo jua Dira imepotea, waliotangulia hwajui twende kulia,kushoto,mbele,au nyuma! Inafika time wengine huipiga namba ya jiwe kuuliza maelekezo wanakuta NAMBA UNKNOWN!
 
Crap

Mawazo mgando na ya walevi

Ukweli lazima usemwe

Nasema pwi pwi kwi kwi

DJ lete mambo, DJ lete mambo

CCM ina wenyewe

CCM, ccm, ccm ohooo ccm ni nambari one

Kuna watu walikubali kufa na Wengine walikufa kwa nchi hii

JPM Yeye amekuta minara ya Mashujaa hata maana yake alikuwa hajui

JPM alitaka aitwe shujaa, Hivi hajui akina Mkwawa walipambana sana

Hivi JPM hakujua chief Songea alipambana sana hapa Tanzania

Hata siku moja Nyerere hakujisifu zaidi ya Mkwawa au chief Songea bali Akifika huko Iringa na Songea alijifanya bwege na aliwaita wazee wa mila kumpa ushauri

Sasa huyo Mwamba wenu alijifanya Yeye ni shujaa kuliko Mkwawa, chief Songea na Mtemi isike... kweli??
I
Mwambieni walikuwepo wapambanaji siyo yeye

Marehamu Capt John Komba aliimba nyimbo za ushindi za hamasa na akatoweka

JPM nani ndani ya ccm?

Wenzake akina kinana, Makamba na Kikwete walikuwa wanajeshi walijitolea kufa kwa nchi hii kabla ya Magufuli

JPM nani bwana?

Historia ya nchi hii ni ngumu sana, Nyerere aliongea na Machief kuwa tuwe wamoja bila hivyo kuna maeneo Machief wao walikuwa watu wa vita na kupambana

Huko Iringa, Songea na Tabora watu walikuwa na tawala za vita na ujasiri lakini busara za nyerere watu wakamuunga mkono

Skadi moja ya mtwara JPM wenu hoi, Je ingekuwa enzi hizo kuna uchawi wa kutisha angetoboa kama Nyerere kweli

Unakumbuka ule mwanga kule kwa Majaliwa, Sasa Jiulize enzi hizo Nyerere ilikuwa Je? siku hizi hakuna uchawi bwana
Umempatia za uso hatorudia tena kuandika utumbo
 
Kila jambo linatokea kwa sababu zake na kwamba siyo kweli kusema bila Magufuli Samia asingekuwa Rais. Siyo kweli kabisa
 
Bila Melo na the company wewe usingekuwemo JF. Acha ubishi ubishi usio na mpango it is course of nature siku nyingine utabisha hata bila Wazazi wako ungekuwepo duniani
 
Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli.

Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao waliibuliwa na kubebwa kwa 100% na Magufuli mwenyewe. Kumkana sasa Magufuli na siasa zake kabla ya kuwaomba radhi watanzania waliomizwa na utawala wa Magufuli huku Samia akiwa msaidizi na mshauri mkuu wa Magufuli, ni jambo la fedheha sana.

Yaani mabaya yote ya utawala wa Magufuli (kama ubabe, unyanyasaji, utesaji, wizi) wanasema yalikuwa ya Magufuli mwenyewe, lakini mema yote ya Magufuli (kama ujenzi, miradi, usimamizi, uwajibikaji) wanasema yalikuwa ya wote kwa umoja wao! Huu ni unafiki mkubwa.

Sote tunajua kuwa uchaguzi wa 2015 ulichezewa ili Magufuli aingie madarakani, na uchaguzi wa 2020 ulichezewa na Magufuli mwenyewe kwa 100% ili aendelee kukaa madarakani. Na Magufuli aliyafanya hayo yote kwa maslahi yake binafsi, maslahi ya CCM na maslahi ya wasaidizi wake. Leo hii watu wale wale kumkaanga Magufuli kisiasa ni jambo la ajabu sana.
Kwanini hawakusema hayo wakati Magufuli akiwa bado hai?
Kwanini hawakukaa hata pembeni ili kukwepa kushiriki dhuluma aliyotendwa na Magufuli?

Yaani leo hii Magufuli amegeuzwa na CCM ya mama Samia kuwa dampo la kufichia uchafu wote wa kisiasa unaonuka wa CCM uliofanywa na CCM na serikali yake tangu 2015-2021. Hii hatari sasa.

Ilitosha sana kwa mama Samia na CCM yake kuja kwanza hadharani kuwaomba radhi watanzania kwa utawala mbovu wa Magufuli uliokosa aibu, utu na haki, kisha kutafuta maridhiano ili ukurasa mbovu wa utawala wa Magufuli ufungwe milele katika taifa letu.

Nimekupa like ingawa ubeti wa mwisho umeharibu. Nyani ni wale wale na pori ni lile lile
 
Siyo kweli. Kwanza Magufuli ndiyo anapaswa kushukuru kwa kuwa Mgombea. Kwenye kura aliongoza Amina Salum, akafuata Magufuli then Asha Rose Migiro.

Kama Mkapa asingemkomalia Kikwete huyo Mwendazake asingesikika popote
Mkuu we hujui kitu bora unyamaze tu eti aliongoza Amina salumu ukisimuliwa nini?
 
Magufuli anajadiliwa kuliko baba wa taifa Mwalimu Nyerere.

Hakika JPM alikuwa chaguo la Mungu wa mbinguni.
Kama johnthebaptist ni mkristu nakuomba ukatubu kwa maneno ya kufuru uliyoandika hapo juu. Mungu wetu asingeweza kutuletea mtu kama Magufuli ambaye alikuwa katili, muuaji mwongo na mnyang'anyi.

Magufuli ni zao la shetani ila Mungu wetu aliingilia kati kwa kumnyakua pale 17/ 03/ 21
 
Hizo propaganda za kufuta legacy zimeshaexpire mudaaa, watu wanachanga karata, nadhani umeshackia kauli za "TUNAWASUTA KWA KUTIMIZA MIRADI YA MWENDAZAKE". Punde utackia machinga wanarudi ROAD, wakati mwingine msikubali kutumika Kwa maslah na chuki za watu binafsi.
 
Rabbon Ni poyoyo huwezi argue na great thinkers. Rudi kwenu Facebook
 
Anajadiliwa kwa UFEDHULI na UHAYAWANI wake.

Ule uwongo alioupandikiza ndiyo tunaufuta taratibu.

Kwa mfano alikuwa anasema tunajenga miundombinu kwa fedha za ndani kumbe alikuwa anakopa.
Ujenzi wa hiyo ikulu umesikia amekopa wapi tupe taarifa tujue sbb unaonekana mkuu una takwimu nyingi!!!!!!
 
Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli.

Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao waliibuliwa na kubebwa kwa 100% na Magufuli mwenyewe. Kumkana sasa Magufuli na siasa zake kabla ya kuwaomba radhi watanzania waliomizwa na utawala wa Magufuli huku Samia akiwa msaidizi na mshauri mkuu wa Magufuli, ni jambo la fedheha sana.

Yaani mabaya yote ya utawala wa Magufuli (kama ubabe, unyanyasaji, utesaji, wizi) wanasema yalikuwa ya Magufuli mwenyewe, lakini mema yote ya Magufuli (kama ujenzi, miradi, usimamizi, uwajibikaji) wanasema yalikuwa ya wote kwa umoja wao! Huu ni unafiki mkubwa.

Sote tunajua kuwa uchaguzi wa 2015 ulichezewa ili Magufuli aingie madarakani, na uchaguzi wa 2020 ulichezewa na Magufuli mwenyewe kwa 100% ili aendelee kukaa madarakani. Na Magufuli aliyafanya hayo yote kwa maslahi yake binafsi, maslahi ya CCM na maslahi ya wasaidizi wake. Leo hii watu wale wale kumkaanga Magufuli kisiasa ni jambo la ajabu sana.
Kwanini hawakusema hayo wakati Magufuli akiwa bado hai?
Kwanini hawakukaa hata pembeni ili kukwepa kushiriki dhuluma aliyotendwa na Magufuli?

Yaani leo hii Magufuli amegeuzwa na CCM ya mama Samia kuwa dampo la kufichia uchafu wote wa kisiasa unaonuka wa CCM uliofanywa na CCM na serikali yake tangu 2015-2021. Hii hatari sasa.

Ilitosha sana kwa mama Samia na CCM yake kuja kwanza hadharani kuwaomba radhi watanzania kwa utawala mbovu wa Magufuli uliokosa aibu, utu na haki, kisha kutafuta maridhiano ili ukurasa mbovu wa utawala wa Magufuli ufungwe milele katika taifa letu.
Kwani unafikiri hata MAGUFULI mwenyewe bila CCM angekuwa rais?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom