polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,808
Kama rais baada ya rais mpenda misifa kutwaliwaWadau nijulisheni,
Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo.
Nasema hivyo kwa sababu CCM Rais ni moja kwa moja ni mwenyekiti.
Hivyo Rais anapohudhuria vikao vya CCM haingii kwa nafasi nyingine bali anaingia kama mwenyekiti wa CCM.
Sasa Rais Samia siyo mwenyekiti wa CCM wala siyo tena makamu wa Rais.
Je, anaingia vikao vya kamati kuu kama nani?