Rais Samia anahujumiwa kwenye suala la wamachinga

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Kuna hujuma za dhahiri sasa baadhi ya wakuu wa mikoa wanataka kufanya ili kujenga taswira hasi dhidi ya Rais Samia kwenye suala la wamachinga.

Tuseme ukweli mwaka 2015 umaarufu wa CCM ulikuwa shakani baada ya historia mbaya kunyanyasa wamachinga leo tunarudi kulekule.Tulilazumika kumuuza Magufuli badala ya CCM.

Kuna juhudi za makusudi baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya kumuondolea Rais Samia uaminifu kwa wananchi.

Wamachinga waheshimiwe kama hakuna sehemu bora waachwe walipo hadi itakapopatikana na ikiwezekana serikali ininue baadhi ya maeneo mijini ivunje majengo ili yawe maalum kwa wananchi.
 
Wamachinga wamezidi na ukijaribu kuhoji they can even kill you

Wameshaanza kuvamia hadi viwanja vya watu, maeneo ya wazi na maeneo maalum Kwa usalama

Msichukulie Poa issue ya wamachinga

Hakuna haki bila wajibu

Na tuna shida nyingi mno za kutokufuata Sheria na taratibu
 
Endelea tu kusifia bibie anaupiga mwingi, au kwa vile hili limegusa kinyume maslahi yako!
 
Kama tunahitaji kuendelea kuna mambo tunatakiwa kuyafanya bila kuangalia itaathiri vipi chama fulani cha siasa.

Kiukweli wamachinga ni kero sana kwa sasa huko mitaani hasa miji mikubwa.
 
Kama hawata tumia busara kwa suala la machinga 2025 meza itakuwa Kama ile ya Bulicheka na mkewe Lizabetha
 
Bi Samia alishasema mwenyewe hata kama mngepeleka kura zenu katika vyama vingine, Chama kitakachounda Serikali ni CCM, hivyo kura za wamachinga haziitajiki sana.
 
Wamachinga hamvumiliki mnaujinga mwingi Sana,mtu umesimama stendi ya daladala machinga anakufukuza eti umesimama mbele ya biashara yake.mnajiweka kwenye kundi la kipekeenu Sana.
 
Kama machinga waliweza kununua vitambulisho serikali ikapat bilioni 52 kwa nn serikali isiweke mikakati iwaache wachange hat kwa miaka mitatu hiyo hela ndo itumike kununu maeneo kati ya miji na kuboresha ili wawape machinga lakini hili la kuwafukuza kila mara ni tatizo ambalo litku haliishi.Hili wazo km watalifanyia kazi linaweza saidia sana.
 
Ndugu zangu,

Kuna hujuma za dhahiri sasa baadhi ya wakuu wa mikoa wanataka kufanya ili kujenga taswira hasi dhidi ya Rais Samia kwenye suala la wamachinga.

Tuseme ukweli mwaka 2015 umaarufu wa CCM ulikuwa shakani baada ya historia mbaya kunyanyasa wamachinga leo tunarudi kulekule.Tulilazumika kumuuza Magufuli badala ya CCM.

Kuna juhudi za makusudi baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya kumuondolea Rais Samia uaminifu kwa wananchi.

Wamachinga waheshimiwe kama hakuna sehemu bora waachwe walipo hadi itakapopatikana na ikiwezekana serikali ininue baadhi ya maeneo mijini ivunje majengo ili yawe maalum kwa wananchi.
Umeona hapo tu kwakuwa nawe no mmoja wait vipi kuhusu wanayofanya polisi na haki za raia.
 
Kama machinga waliweza kununua vitambulisho serikali ikapat bilioni 52 kwa nn serikali isiweke mikakati iwaache wachange hat kwa miaka mitatu hiyo hela ndo itumike kununu maeneo kati ya miji na kuboresha ili wawape machinga lakini hili la kuwafukuza kila mara ni tatizo ambalo litku haliishi.Hili wazo km watalifanyia kazi linaweza saidia sana.
Wazo zuri
 
Ndugu zangu,

Kuna hujuma za dhahiri sasa baadhi ya wakuu wa mikoa wanataka kufanya ili kujenga taswira hasi dhidi ya Rais Samia kwenye suala la wamachinga.

Tuseme ukweli mwaka 2015 umaarufu wa CCM ulikuwa shakani baada ya historia mbaya kunyanyasa wamachinga leo tunarudi kulekule.Tulilazumika kumuuza Magufuli badala ya CCM.

Kuna juhudi za makusudi baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya kumuondolea Rais Samia uaminifu kwa wananchi.

Wamachinga waheshimiwe kama hakuna sehemu bora waachwe walipo hadi itakapopatikana na ikiwezekana serikali ininue baadhi ya maeneo mijini ivunje majengo ili yawe maalum kwa wananchi.
Hivi waliovunjiwa mijengo yao toka Kimara mpaka Kibaha wasemaje?
 
CCM kushinda haitegemei kura za wamachinga.
CCM hushinda hata bila ya wapiga kura. Km unabisha chukua fomu ya kugombea ubunge kisha safiri. Utapigiwa simu umeshinda kwa 100%
Kiukweli wamachinga ni kero km pale Kariakoo.
Pamekuwa pa ovyo sana.
Kama hawata tumia busara kwa suala la machinga 2025 meza itakuwa Kama ile ya Bulicheka na mkewe Lizabetha
 
IMG_1658.jpg

Suala zito hili usilichukulie poaa
 
Ndugu zangu,

Kuna hujuma za dhahiri sasa baadhi ya wakuu wa mikoa wanataka kufanya ili kujenga taswira hasi dhidi ya Rais Samia kwenye suala la wamachinga.

Tuseme ukweli mwaka 2015 umaarufu wa CCM ulikuwa shakani baada ya historia mbaya kunyanyasa wamachinga leo tunarudi kulekule.Tulilazumika kumuuza Magufuli badala ya CCM.

Kuna juhudi za makusudi baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya kumuondolea Rais Samia uaminifu kwa wananchi.

Wamachinga waheshimiwe kama hakuna sehemu bora waachwe walipo hadi itakapopatikana na ikiwezekana serikali ininue baadhi ya maeneo mijini ivunje majengo ili yawe maalum kwa wananchi.
Yaani serikali inunue maeneo kwaajili ya wamachinga...iache kununua madawa na madawati ..acheni upuuzi nyie chingaz
 
Back
Top Bottom