Ndugai ana fursa ya kuandika hostoria kwa bara ala Africa. Atapata heshima kubwa sana kama atajiuzulu sasa kwa sababu ya kushidwa kuelewana na Raisi wake kuliko kukomaa na kubakia madarakani bila maelewano ya serikaliKwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025...