Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Unajichanganya sasa. Mpare anaweza kuwa mzanzibari kama atakuwa na sifa hizo lakini yaye hana hizo sifa. Naamini hajawahi kusema "straight" yeye mzanzibari, fuatilia vizuri. Amesema anahusiana hukohuko. Mnyamwezi mwenzenu huyo msimbague

Unapata shida sana mkuu
 
Sijajua point yako hapo nini. Ni wewe tu ndio ulikuwa hujui kuwa anaitwa Zuhura Yunus Abdallah. Ni kwa vile mmemjua zaidi katika kipindi akiwa BBC ambapo binafsi sijawahi kusikia mtangazaji wao yoyote akitambulishwa kwa majina matatu ukimtoa Chama Omari Matata. Hata Charles Bilal, si wengi waliokuwa wakijua jina lake la 3. Salim Kikeke jina lake la 3 ushalisikia likitajwa huko BBC? By the way huenda wewe ni mdogo lakini baba yake mbona alikuwa mwanajeshi wa JW (Kanali Yunus Abdallah). Usichojua wewe si kwamba hakijulikani na wengine.
Mbona unajikita kwenye hoja moja tu na kujibama huko kama ruba? Amka mkuu na yaelewe mazingira yaliyomfanya yeye kuwa mtangazaji kwenye shirika kama hilo. Mtangazaji yoyote wa BBC ni lazima awe na mahusiano na Scotland Yards. Kama huamini hayo chunguza.

Matangazaji yoyote wa BBC yuko kwa ajili ya kupiga propaganda ya nchi yake ambayo ni England. Hawezi toa criticisim hata moja kwenye serikali ya hiyo nchi na wala hawezi hoji chochote. Kama huamini nipe uthibitisho.

Labda nikuulize swali, kwanini serikali ya uingereza itumie fedha za walipa kodi wao kwa madhununi ya kutuburudisha sisi?

Hapana mkuu kama hutambui madhumuni ya wazungu kutoa matangazo ambayo yanatuburudisha sisi, basi nafikiri huwajui wazungu na wala huna chochote cha kuniambia, kwani unakosa references.

Najua huko Bongo wengi wenu mnaona Inn au mtu ameuchinja akiajiriwa na mashirika ya nje kama hayo au NGOs ambazo zina operate huko nyumbani. Mnafikiri wazungu wanawapenda nyie sana kuliko viumbe wengine wote???

Nawasikitikia sana! Nakuomba pata kwanza references alafu njoo na hoja ya kumsujudu Mama Yunus.

Sina hakika kama ulilenga kunijibu mimi au vipi ila kama ulikusudia mimi, you're totally lost. Bahati nzuri kwa hao wazungu nimesoma na naishi nao, mambo mengi mnayowatuhumu nayo ima ni ya hisia au sisi wenyewe ndio tumeyaweka katika namna kama yalivyo kiasi cha kuhisi media zao zinatiandama.

Hivi kwa kiongozi kama Museveni kwa miaka aliyoongoza na hali za wananchi wake, tutailaumu BBC au DW kum criticize? Nimechunguza sana hizi allegations zetu waafrika kwa wazungu, the fact ni kwamba mengi tunawaonea na kuwasingizia tu; fundamental mistakes ni za kwetu wenyewe. As human nature, they are not in the world to fulfill interest of others. Tunafanya vitu vya kubahatisha sisi wenyewe then lawama kwa wazungu, that's fuckin. Dunia ya kisasa inahitaji mambo mawili tu kuendelea. KNOWLEDGE and INFORMATION. The rest are just available and you can pick them from wherever they are and use it to fulfill your interest/wills. Sasa kama Africa mpaka sasa hatuna mpango na vitu hivyo viwili, halafu ukawalaumu wazungu? Ni mawazo mfu.
 
Look on the bright side walau Zuhura hana unazi wa vyama vya siasa, amefanya kazi BBC kama mtangazaji and mtayarisha vipindi kwenye shirika ambalo linazingatia sana code of conducts; kwa maana hiyo ni mtu mwenye maadili ya kazi.

Jumlisha ya kuwa amekaa nje muda mrefu dua zetu ukaribu wake na raisi labda anaweza shawishi mambo kadhaa ya ethics za uongozi na mategemeo ya wananchi kwa raisi wao; kama ilivyo huko alipotoka.

Maana kwa sasa maza hana wanashauri wenye nia njema aliopewa wapo kumlinda tu abakie hapo mpaka 2030 ata aboronge vipi kwa maslahi yao binafsi.
 
Sina hakika kama ulilenga kunijibu mimi au vipi ila kama ulikusudia mimi, you're totally lost. Bahati nzuri kwa hao wazungu nimesoma na naishi nao, mambo mengi mnayowatuhumu nayo ima ni ya hisia au sisi wenyewe ndio tumeyaweka katika namna kama yalivyo kiasi cha kuhisi media zao zinatiandama.

Hivi kwa kiongozi kama Museveni kwa miaka aliyoongoza na hali za wananchi wake, tutailaumu BBC au DW kum criticize? Nimechunguza sana hizi allegations zetu waafrika kwa wazungu, the fact ni kwamba mengi tunawaonea na kuwasingizia tu; fundamental mistakes ni za kwetu wenyewe. As human nature, they are not in the world to fulfill interest of others. Tunafanya vitu vya kubahatisha sisi wenyewe then lawama kwa wazungu, that's fuckin. Dunia ya kisasa inahitaji mambo mawili tu kuendelea. KNOWLEDGE and INFORMATION. The rest are just available and you can pick them from wherever they are and use it to fulfill your interest/wills. Sasa kama Africa mpaka sasa hatuna mpango na vitu hivyo viwili, halafu ukawalaumu wazungu? Ni mawazo mfu.
Huwajui wazungu wewe hata kama unaishi nao na unajua lugha yao. Ni material ambayo iko juu sana kwako. Hata mimi ilinichukua mda mrefu sana kuwajua. Baada ya kuishi na kufanya nao kazi miaka 20 ndiyo hapo nilianza kuuona mwanga.

Wazungu wame destroy kila kitu kinachohusu mwafrika. Walipoteza kwa makusudi identity yetu. Unaweza ukaniambia kabla ya wakoloni kuja babu zetu walikuwa wanaishi vipi? Unaijua history yako? Kwako unafikiri history ya maisha yako yameanza na kuja kwa wazungu.

Nilivyokwenda Europe kwa mara ya kwanza nikiwa na age ya miaka 23, usingeniambia kitu kuhusu wazungu. Niliwa admire mno kama wewe ulivyo sasa.

Hata nikikueleza vipi hutanikubali kwasababu wamekwisha pandikiza history ya maisha yao kwenye DNA yako. Nasikitika kwa haya unayoyaandika naona hata haibu mwafika kuwaza vitu kama hivi.

Siwezi kukulaumu kwasabu hiyo ndiyo ilikuwa lengo lao. Hayo mawazo yako ndiyo hayo ambayo Rais wetu wa sasa anayo, anafikiri kwa kutumia utangazaji ata wavutia wawekazaji ambao watakuja toa ajira kwa vijana wetu. Nasikitika Rais amepotea kabisa.

Wawekezaji wa leo hawaji kihivyo. Wawekezaji wa leo wanaletwa na science. Science ambayo itamfamnya mtanzania kuwa na Vision za Innovation. Bila creativity ya vijana wetu sioni kitu cha kuwavutia wawekezaji. Nacho ona ni vivutio vya wanyonyaji ambao watakuja kumkamua ng'ombe maziwa mpaka hakamuliki tena.

Mkombozi wetu ni Chuma yetu na LNG!

Nafikiri history ya BARRICK GOLDq na ACACIA hujaielewa bado! Pole sana mtanzania unaye wajua wazungu.
 
Kama unaishi Europe zone halafu una mawazo ya hivi nadhani kama usingekuwa huku definitely ungekuwa mchawi muda huu. Inabidi usome kwa kunielewa sio unachowaza wewe ndicho ukitafsiri kwangu. Hakuna sehemu niliyokwambia nawa admire wazungu au waasia au whatever. Yes, Mimi sio mwanahistoria ila nachoweza kukuambia ni kwamba nimefuatilia sana haya mahusiano ya Afrika na Europe/America; America na Europe; Asia na Europe/America na kujiridhisha kuwa pamoja na wao kututawala lakini sisi wenyewe tuna sehemu kubwa ya kukulaumu kuliko kuwalaumu wao.

Shida tunayoipata waafrika ni kama shida iliyopo kati ya maskini na tajiri. Maskini anadhani amekuwa maskini sababu ya tajiri na kwamba tajiri anatakiwa kuwa "mjomba" wa maskini. That's totally wrong. Absolutely wrong. Maisha ya duniani si ya mjomba na shangazi. Maisha yanataka "right skills, knowledge and timely information". Soma tena haya maneno: RIGHT SKILLS, KNOWLEDGE AND TIMELY INFORMATION. Wazungu wameyajua haya ndio maana leo wapo hapa walipo. Kuna obvious reasons why Africa poor. Tunadhani ukiwa na Nyati wengi, tembo wengi, Gesi nyingi, dhahabu nyingi, ardhi kubwa, Basi maendeleo yatakuja tu. BIG NO. Kama huna right skills and knowledge and timely information hayo mavitu yako hayatakuwa na msaada milele na milele hata kama utayazuia hadi Yesu arudi.

Sasa swali unalopaswa kujiuliza je, Afrika tunachukua juhudi gani kwenye kupata right skills and knowledge and timely information? Hapa nitakuomba utafute historia zifuatazo/wafuatao:-
1. Ali Bin Hassan Al Shiraz (mtawala wa kilwa aliyenunua kisiwa hicho kutoka kwa wenyeji (bantus)
2. Ibn Batuta
3. Vasco Da Gama na safari yake ya kutoka Europe hadi pwani ya Afrika Mashariki
4. Richard Francis Burton
5. Dr. David Livingston and Henry Stanley
6. Muingereza/ Industrilist Samuel Slater
7. Iwakura mission (Tomomi Iwakura)
8. John Havard
9. Dr. Carl Peters
Watu hao 9, ukiwasoma utabaini namna walivyochukua juhudi kukusanya skills, knowledge and information kwa ajili yao, vizazi vyao na mataifa yao kiasi leo hii kuna taathira/legacy ya kudumu waliyoiacha kwenye mataifa yao. Narudia tena. Mzungu si mjomba wetu wala shemeji yetu wala shangazi yetu. Ni mtafutaji/ mhangaikaji mwingine kama wewe na mimi; along the way, ukienda vijijini na kukuta wanakijiji wanachezea dhahabu utatafuta namna ya kuichukua dhahabu hiyo kwa manufaa yako.

Kama unajenga shule leo hii ambayo utafundisha Bailojia, Kemia, Fizikia na Hesabu lakini hujengi maabara wala maktaba ya masomo hayo, halafu unataka kumlaumu mzungu, hilo ni kosa lako. Mzungu ndiyo amekuja kukushikia bunduki usijenge maabara au maktaba? Kama una Gesi, madini yote hayo, wanyama nk halafu huna chuo Kikuu hata kimoja cha kufundisha watu wako teknolojia ya vitu hivyo, huna sababu ya kulaumu wazungu. Jenga chuo Kikuu cha Teknolojia ya Gesi na Madini, weka miundombinu, ita waliokutangulia wakufundishie vijana wako.

Kama una misitu yote hiyo halafu bado unaamini ukikutwa na Kobe wewe mhujumu uchumi, who z to be blamed braza? Kama una ardhi nzuri kwa kulima bange Ili uuze huko wanakohitaji lakini hutaki kulima badala yake unataka walime pamba ambayo hawahitaji ni nani wa kumlaumu hapo?

Kama mpaka leo unazuia watu kupiga picha Tazara, au Daraja letu la Tanzanite nk who to you to blame? Kama miaka 15 unashindwa kukamilisha kuwapa ID tu wananchi wako, who to you to blame bro? Kama unaamini Passport ni kitu cha thamani sana kiasi kila umpaye akwambie amealikwa wapi, who to you to blame braza? Kama bado una import jembe la mkono hadi leo, who to you to blame? Kama bado unaamini katika mtu badala ya mfumo, kwamba Magufuli asingekufa nchi yako ingekuwa tajiri, what can we help you more braza? Kama mpaka leo mnaibiana kura baada ya kuwaweka juani wananchi wako mchana kutwa, what else can the world do for you dada?

Jitahidi kuwaelewa wazungu. Wazungu ni binaadam kama wewe, tofauti yao ni kwamba wao walipata watu sahihi walio-acquire and impart knowledge, right skills and timely information na mfumo huo unarithishwa kizazi hadi kizazi. Kutoshirikiana nao sio suluhu na wala sio shida, shida ni namna unavyoshirikiana nao. Anyway, wacha nilale niwahi kuamka kumtumikia huyo beberu.
 
Asante sana. Nimependa mchango wako. Uko vizuri. Naombanmsamaha kidogo. Nitakujibu kesho. Leo ninebanwa kidogo.

Ninachoweza kukudokeza ninkwamba nimekuelewa vizuri sana na najua uko wapi kiupeo.
 
Narudia tena kukushukuru wa hoja yako nzuri ambayo, kwa kusema ule ukweli, imenigusa sana sana na ndiyo maana ikabidi kabla ya kukujibu nichukue kwanza pause na kufikiri nini nikujibu ili uweze kunielewa vizuri kulingana na mambo yote uliyo yamwaga kwenye hoja yako.

Mimi binafsi, nikuambie ukweli, nina wa admire watu kama wewe ambao kulingana na sources ndogo za information mnazo pata nyumbani, mnaweza kuwa na uwezo mpana wa mawazo juu ya maisha ya binadam ulimwenguni. Respect!

Pamoja na uzuri wa maelezo yako, hata hivyo ningependa kujua mambo uliyo somea na ujuzi wako. Hata kama utashindwa kuutoa kwenye hili jukwaa, basi naomba nifuate inbox kama utapenda.

Nakubaliana na wewe 100% katika maelezo yako uliyo yatoa kwenye paragraphs zako kuanzia paragraph ya nne mpaka ya sita.

Zaidi ya hayo nasikitika kukueleza kuwa maelezo uliyo yatoa kwenye paragraphs zako mbili za mwanzo, inanipa ugumu kidogo kuweza ku-judge upeo na ufahamu wako wa wazungu. Mimi naona maelezo yako yame base sana kwenye Brainwashing kuliko understanding yako, kwani tambua kuwa orodha yote uliyo nipa ya vitabu vyote ulivyo visoma so far, havitoshelezi kuelewa mambo mengi kuhusu mzungu kiasi kwamba vikakufanya umdharau mtu mweusi ikiweno na wewe mwenyewe.

Kwanza kabisa kama utakavyo kuwa umeona vitabu hivi vyote ambavyo umevisoma vitakuwa vimeandikwa na mzungu na kuchapishwa na mzungu na kuletwa kwenu na mzungu. Yaani mzungu anakupangia wewe vitabu gani uvisome. Kwa hali hiyo unaweza ukaona mwenyewe kuwa understanding yako ya history na information haijawa balanced, ni one sided na wewe umeyachukua yote yaliyo andikwa humo one by one kama ndiyo ukweli na kukufaya wewe kumkuza mzungu kama ndiyo mungu wa maisha ya binadam duniani.

Kabla ya kumjua Vasco Da Gama na hao wengine wote ambao wamejitokeza kuanzia karne ya 15 ulitakiwa kwanza uijue history ya Kemet (Egypt) na maisha ya waafrika, historia ya maisha ya watu huko Mesopotamia au Middle East na Persia, historia ya Alexander The Great na Ptolemy na influence ya ancient Egypt kwenye maisha ya wagiriki wakiwemo Pythagoras, Sakrotis, Herodotus na wengeneo wengi, historia ya kunzishwa kwa himaya ya kirumi na kukua kwa himaya hiyo na hivyo influence yake Europe bila kumsahahu Emperor Constantin, kuanzishwa kwa dini ya kikristo na ya kiislam na kuenea kwake mwisho ndiyo uje na Propanda za hao watu uliowataja.

Hata hivyo huwezi ukaanza na Vasco Da Gamma bila kumjua Queen Hellena na King Philip, Christoph Columbus, Fernando Magellan, Bartolomeu Dias na Amerigo Vespucci wa Spain. Vile vile huwezi kumzungumzia Samuel Slater, Livingston na Stailey bila kwanza kuwajua King Henry VIII na bint zake Queen Mary na Queen Elizabeth I. pia Francis Drake mbaharia mkuu wa England na Queen Victoria. Na mwisho huwezi kumzungumzia Carl Peters bila kwanza kuwazumngumzia Emperor Wilhelm II. na Chanellor Bismark of Germany

Kwa hali hiyo nami nasikitika kukuambia kuwa hiyo sio ndiyo njia nzuri na iliyo bora ya kupanua uelewa wa mambo ya ulimwengu. Unapo soma maelezo yoyote yale yanayo husu historia ya binadamu unatakiwa pia uwe na uwezo wa kuhoji, kwanini vitu fulani vilitokea na kwasababu gani, na hata kama katika matukio hayo mafanikio mazuri, kama wewe mwenyewe ulivyo dai, ya kimaendeleo waliyapata.

Kama nilivyo kueleza hapo juu kuwa kama hivyo vitabu ulivyo visoma ndiyo source pekee ya information uliyo nayo, basi nakueleza kuwa hiyo peke yake haitoshi, unatakiwa kuwa na uelewa mpana zaidi wa habari au historia ya maisha ya binadam ya ulimwengu mzima na Timeline yake. Vinginevyo itakuwa ni mateso kwako kwa sababu hutakuwa na majibu ya kwanini wazungu wamefanikiwa kiasi kiasi kikubwa kimaendeleo na sisi kushindwa, japo kuwa umeielewa historia nzuri juu ya maendeleo ya wazungu. Hata hivyo mimi naona bado hujayaelewa mafanikio ya mtu mweusi mpaka sasa juu ya maisha yake mpaka kipindi ambacho mzungu alipokuja kumwingilia kwenye maisha yake na kumshinda kwa suluba.

Look kijana wangu, cha kujiuliza ni kwamba, kama binadam wote duniani tunatambua kuwa chimbuko la modern man ni Homo Sapiens Sapiens na Homo Sapiens Sapiens aliishi Afrika, inakuwaje leo mzungu adai kuwa mafanikio ya maendeleo aliyo yapata kuanzia karne ya 16 ni yake peke yake bila kumhusisha mtu mweusi ambaye ndiye aliye anza kuishi duniani na kuyaanzisha hayo maendeleo ambayo huyo mzungu leo anajivuna nayo? Na kama haitoshi naomba jiulize wewe mwenyewe kuwa hayo maendeleo ya huyo mzungu wako unaye msujudu yalianza katika mazingira gani?

Ili nisikuchoshe na maelezo yangu marefu, ku-pick aina ya vitabu ambavyo ameviandika mzungu kuvisoma bila kujua ukweli wa maisha ya mtu mweusi, sidhani kama ni utaratibu mzuri wa kupata information inayo takiwa na ambayo itakufanya wewe uweze kujitambua "who you are" na nini unatakiwa ufanye ili uweze ku-advance kimaarifa na kimaisha?

Kitu ambacho kinanifanya nikulaumu katika maelezo ya hoja yako, ni kile kitendo cha wewe ku-reduce historia ya maiasha ya binadam kuanza na karne ya 18 na kuamini kuwa maelezo hayo ambayo wazungu wameyaandika kwenye vitabu vyao, kwa manufaa yao, huku wakimdhalilisha mtu mweusi kama sokwe, ni ukweli mtupu bila kujiuliza imewezekanaje na katika mazingira yepi? Lakini ile hali ya wao kutuweka sisi kwenye state ya masokwe, umeshindwa kuiona.

Huyo Stanley wako mwenyewe kwa mfano, alipofika Tabora na kuona watu walio mzunguka baadhi yao kuwa ni weupe wanao fanana na rangi yake alijiaminisha kuwa hao watu alio waona watakuwa watu wa race yake, akimaanisha kuwa wametoka Europe wakaja Afrika, wakati sio kweli. Kitu ambacho hakujua ni kuwa mtu mweusi anaweza akatoa vizazi visivvyo na melanine na kwamba Afrika ndiyo bara pekee duniani lenye watu wenye variety of genes.

Kabla ya mzungu kujulikana kwenye ulimwengu huu na miji kama Athens, Rome, London na Paris kuanzishwa, mtu mweusi alikuwa yuko mbali sana katika science na teknologia ya usafiri, ujenzi, anga na matibabu. Nenda mwenyewe kaangalie wonders za mtu mweusi huko Sudan na Misri, nafikiri ukirudi tena Tanzania utakuwa mtu mwingine kabisa.

Kama unataka historia ya maisha ya binadam basi naomba anza kwanza na Afrika alafu ndiyo uende huko kwa wazungu. Kabla mzungu hajaanza hata kuwa na settlement ya kudumu ancient Agypt na Nubia walikuwa wamekwisha anza zamani cultivation of crops kwa kutumia irrigation technology along the Nile River and building of permant settlements mpaka kujenga Pyramids na kusafiri kwenda kwenye continents nyingine kwa kutumia boats na teknologiaa ya anga.

Wazungu wametumaliza sisi kwa kutumia nguvu kubwa sana za silaha za moto na kutuvuruga sisi akili kwa kutumia psychology. Wazungu wameharibu kila kitu ambacho sisi kilikuwa ni msingi wetu wa maisha na maendeleo kwa kutufanya sisi tusijitambue na kujiona ni masokwe mbele yao kwa kupotosha imani zetu na kutufanya sisi tumwamini YESU wao. Kabla ya hapo ulimwengu ulikuwa una mwabudu Imhotep. Imhmotep alikuwa genious wa kwanza kutambulika duniani, hata kwao, kwenye nyanja zote za science. Alikuwa mwana mahesabati na mganga mkubwa wa mtibabu hijawahi kutokea na mjenzi wa ma-Pyramids tunayo yaona huko Egypt na Sudan.

Mpaka hii leo ndugu yangu uelewe kuwa wazungu wanaendelea kutumia nguvu kubwa sana kutu supress sisi tusifanye chochote kile cha maendeleo makubwa ambacho kikasababisha sisi kujitegemea wenyewe. Kila genious na mtu mwenye maarifa mapana ya kutaka kuleta maendeleo makubwa wao wanammaliza. Wewe unafikiri kwanini Institutions za fedha kama World Bank, IMF hazituruhusu sisi kuchukua mikopo mikubwa kuliko uwezo wetu ili tufinance projects zetu za maendeleo bila wao kutupa masharti makubwa?

Kijana nakuambia kitu kimoja tu kuwa sisi tutajikomboa tukiwa na nguvu sawa na wao kiuchumi na kijeshi bila hiyo sahau. Wachina wamejikomboa kiuchumi lakini kijeshi bado, na ndiyo maana unaona sasa pilika pilika nyingi za wazungu kutaka kumwangusha mchina kijeshi kwa kisingizio cha kuwa China ina wakandamiza watu wake. Wakati sio kweli, wachaina wengi hivi sasa wanamaisha mazuri zaidi kuliko hata huko Ulaya na Amerika. Waamerika wako vibaya sana kiuchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja kuliko hata wachina na wa wazungu wa Uaya.

Wachina wana lines sita za High Speed Trains wakati waamerika hawana hata moja na Ulaya ndiyo baadhi ya nchi wana moja au mbili. Hili nakuachia wewe uliendeleze maana mimi utazidi kuniona mchawi bure!

Kama una interest jifunze zaidi kwenye hii Documentary juu ya civilization of Mankind.

Nenda Egypt Brother ukashuhudie mwenyewe wonders of the black man! Watu weusi wote ulimwenguni wanamiminika huko kushuhudia uongo wa wazungu juu ya mtu mweusi. Wazungu wameudanganya ulimwengu kuwa wao ni waanzilishi wa dini na science. Kwa kufanya hivi wametuangamiza sisi na kuondoa msingi wetu wa maisha.

Ukweli wa matukio unaanza kurudi taratibu.

Ahsante kwa point nzuri ulizozitoa. Hata hivyo kumbuka kwamba, sikuwataja hao watu 9 Ili kuelezea evolution ya maisha ya mwanadamu duniani. Hapana. Nimetoa mifano ya watu hao kutokana na juhudi walizofanya katika kuleta impact au kuacha legacy kwa vizazi vyao katika maendeleo tunayoyashuhudia leo. Kila mmoja katika hao amefanya kitu kilicholeta long term impacts kwa watu wao kiasi cha kuwa reflected kwenye maisha tunayoyaons
 
Back
Top Bottom