Rais Samia amenikosha sana kwa kutangaza azma yake, watoto wa mjini wanaita kupindua meza kibabe

Vichokochoko hajitambui she is talking by using both sides of her mouth.

Mama amesema, "nani kawaambia Samia hatogombea." Mimi kuandika ametangaza azma yake hiyo ilikuwa ni tafsiri yangu binafsi tu. Pia alivyosema 2025 tutamuweka mwanamke hakusema kwamba atakuwa ni yeye mwenyewe.

Mama alichagua maneno yake kwa umakini bro!
 
Bro nisamehe lakini kuna vitu vimeashiria kuwa ubongo wako unahitaji msaada wa chakula chake.
1. Kila Mtanzania ana haki kuutaka urais hii ni HAKI kuwaita wana uchu unakosea.

2. 2025 iko wazi kwa wana ccm na upinzani...mama Hangaya hana ile amalizie 10 ya ccm kwasababu anamalizia awamu ya 5, na yeye amekiri ni rais wa katiba, hivyo atahitaji kupitia mchakato wa chama chake...je atashinda ccm?

Mnampa moyo lakini safari ni ngumu zaidi ya kudra iliyomdondokea
Mimi nilikuwa namaanisha mchakato wa urais kupitia chama chake cha CCM. Kwa desturi ya CCM rais aliye madarakari huwa hana mpinzani kwenye chama chake.
 
Nimefurahishwa sana na kitendo cha Rais wetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine.

Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida.

Bila shaka sasa watu wataanza kufanya kazi za kujenga nchi na kuachana na mawazo ya kugombea urais 2025.
Mama anafaa kabisa.
 
Mimi nilikuwa namaanisha mchakato wa urais kupitia chama chake cha CCM. Kwa desturi ya CCM rais aliye madarakari huwa hana mpinzani kwenye chama chake.
Ni kweli lakini huyu yuko mafarakani ki chama iko kama huyu ni rais wa mpito tu, amekiri mwenyewe jana kuwa Bado hajachaguliwa rais mwanamke, huyu ni rais kwa kukidhi matakwa ya sheria tu....yeye akaita ni kudra
 
Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida.
E_YT2D9XoAISYI4

1631773837378.png

"2025 Ukuta umeshawekwa kwa Mgombea mwenye Mamlaka ili mwingine asije kujitokeza. Ukuta huo una nyufa zinazosababishwa na Mti Mkongwe CCM ambao umepukutika majani kutokana na chokochoko ambazo mizizi yake imeeweka nyufa. Je ukuta wenye nyufa utaanguka 2025 ili wengine pia wapite?"
 
Mama jana kalaza watu na viatu ila ilibidi iwe hivyo ili kuwakata kilimi wale wote wanaojipanga kumkwamisha kwa sababu ya uchu wa madaraka
 
Sawa tu kwakuwa ka ahidi ataongeza mishahara kila mwaka, tuna miaka sita bila nyongeza za mishahara.
Bima zimedumaa
Pensioni zimedumaa
NSSF Zimedumaa
KODI Zimedumaa

SUKUMA GANG limetuibia haki zetu miaka Sita sasa.
Ni MAGAIDI kabisa.

Sisi watafanyakazi

Bora Samia kuliko kuleta SUKUMA GANG Lingine.
 
Hii njia nyeupe kwa vyama vya upinzani,katika nafasi ya madiwani na ubunge..mama hauziki kwenye majukwaa itakuwa ngumu sana kuwa beba madiwani na wabunge wake katika kipindi cha campaign.Kuna maeneo bado mama hakubariki kuwa rais wanaamin walimpigia kura JPM na sio mama.
Bado system haimkubali mama kuwa rais kwa maamuzi mengine anayoyafanya.
Lets wait until election
 
Nimefurahishwa sana na kitendo cha Rais wetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine.

Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida.

Bila shaka sasa watu wataanza kufanya kazi za kujenga nchi na kuachana na mawazo ya kugombea urais 2025.
Kwahiyo hajiamini au kuna kitu anahofia?
 
Nasema tena ni Bora Samia agombee tena 2025 kuliko kulipata SUKUMA GANG Lingine.
Wenye Maduka tuanze kuporwa tena pesa zetu kimabavu.

Eti Mgambo ndio wawe wakusanya KODI.
Mliona wapi ?

Bora Samia.
Utaratibu wa CCM wa kupata Wagombea hatuwezi kuuamini tena.
Lile jitu lilipitishwaje kuwa ligombea Uraisi. ?
Hamkuona matendo yake kabla ?

Sisi tuliodhulumiwa na kupoteza wapendwa wetu tunalipwaje ?
 
Hii njia nyeupe kwa vyama vya upinzani,katika nafasi ya madiwani na ubunge..mama hauziki kwenye majukwaa itakuwa ngumu sana kuwa beba madiwani na wabunge wake katika kipindi cha campaign.Kuna maeneo bado mama hakubariki kuwa rais wanaamin walimpigia kura JPM na sio mama.
Bado system haimkubali mama kuwa rais kwa maamuzi mengine anayoyafanya.
Lets wait until election

Kwa hiyo wewe na wenzako mna mpango wa kuunga sukari kwenye ziwa? We’ll see.
 
Nimefurahishwa sana na kitendo cha Rais wetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine.

Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida.

Bila shaka sasa watu wataanza kufanya kazi za kujenga nchi na kuachana na mawazo ya kugombea urais 2025.
Labda aende kule kwao Makunduchi.. Hatuwezi tena tawaliwa na Wazanzibar sisi
 
Back
Top Bottom