Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.

Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.

Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Kwa hiyo wafanyabiashara hawahitajiki Tanzania? Acheni wivu wa kijinga kwa kuwa tu wewe ni maskini!!
 
shida si wafañyabiashara ni kauli mbovu za viongozi wa siasa wasio na mpangilio na kufikiri kabla ya kutoa kauli zao
 
Je Bashe anajua kuwa huko nyuma tuliwahi kuwa na benki ya ushirika hapa nchini? Hatima yake ilikuwa nini?
Kabla ya kuridhia kuanzisha hiyo benki Ijulikane tu kuwa benki ya wakulima inaweza kuwahudumia wana ushirika kwani ni hao hao wakulima!
Bashe asome historia ya benki ya ushirika nchini kabla ya kuleta duplication ya institutions just to achieve personal gain , that will be misallocation of resources.
Kwa akili ya kijamaa mlio nayo Benki ingewezaje kuwa na tija. Ila kukukumbusha tu Benki ya ushirika ndiyo hii leo CRDB. The Cooperate Rural and Development Bank (Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini). Thou nakubaliana na kuimarisha Benki ya Kilimo badala ya kufungua Benki nyingine na Ushirika iwe window tu chini ya TADB.
 
Maoligarchies walianza kutengenezwa awamu ya nne, mwendazake akawanyamazisha na sasa wanatengenezwa upya kupitia uwekezaji kwenye miradi ya serikali, what a classical economy growth is this?!
Haya yetu macho kwa ushauri anaopewa mama.
 
Kila mmoja lawama na sifa zinaenda kwa angle yake.
Ndio hizo kwamba ushamba umelalamikiwa sana na ukaonekana unaturudisha nyuma na sasa kuna ujanja watoto wa mjini.

Kwani Mwendazake nae ana sifa au lawama tu?
 
Wafanyabiashara na Sector binafsi ni Watu Muhimu sana katika Taifa lakini Uhusiano Wa karibu sana Na Authorities hauna afya kwa Taifa kabisa
 
Watu wanaona mbali siyo wana nini...
hata kama itakamilika ila isipokuwa kama ilivyopangwa mwanzo it's already a failure

Mwanzo ilipangwaje mbona nyie watu mna nongwa na kutaka kutengeneza sintofahamu isiyo na mantiki yoyote. Kwani mwanzo ilikuwaje? Ilikuwa ipite wapi na sasa inaenda wapi? Mwanzo mlikuwa na agenda haitakamilika, maza kakomaa SGR inaenda bila Malaika wenu mnadai haitakuwa kama ile, daah. Hivi mnaelewa kwamba SGR ilikuwa kwenye ilani ya CCM? Meaning JPM yeye ni mtekelezaji tu na wala si maono yake!
 
Zezeta la mwendazake limekariri nchi ili iendelee ni lazima serikali iwe na uhasama na wafanyabishara, yule mpumbavu wenu kaharibu sana nchi na amekufa wapumbavu nyie
 
OP umeandika vitu kwa hisia na ujumla ujumla (too much generalization).

Mimi simkubali mama ila kwa hoja zako naona unamshambulia bila hoja zenye mashiko.
 
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.

Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.

Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Nchi inakufa wakati makusanyo yanaongezeka!. Mngemuacha akafanya kazi kwa namna anayofahamu yeye kuliko kuleta huu ujuaji.
 
Hizo Kodi za Wafanyabiashara ndio zinazokufanya ujambe ndugu Mwandishi wa Utopolo.
baby-mask.gif
 
Ndio hizo kwamba ushamba umelalamikiwa sana na ukaonekana unaturudisha nyuma na sasa kuna ujanja watoto wa mjini.

Kwani Mwendazake nae ana sifa au lawama tu?

Dhalimu alikuwa anasifiwa mpaka inakuwa kinyaa, labda haukuwepo hapa nchini. Sehemu pekee alikuwa anapewa ukweli wake ni huku mitandaoni, lakini ulikuwa ukisikiliza redio, TV, magazetini nk, ilikuwa kama kapatikana masiha wa nchi hii.
 
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.

Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.

Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!

Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.

Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Bado mnatesrka na mzimu wa magu. Tuko vizuri. Hakuna tatizo bali unajaribu kulitengeneza akilini mwako. Mtateseka sana wapenzi wa mwendazake. Fuateni ushauri wa zitto
 
Nionavyo ni Wa-TZ kuhadaika kiurahisi na kelele za Bungeni. Yaani Bashe anasimulia mambo utadhani ana niya njema. Anajidai kusimulia shida za mkulima ambazo zinafahamika miaka yote na bado anasifiwa. Nyuma yake ana lake jambo. Nimeona aliamua kusimulia mambo ya bei ya mbolea lakini hasemi kwa nini analeta benki ya ushirika wakati benki ya wakulima ipo. ni mpotopshaji tu!
Sijasoma bill lkn najua benki ya kilimo ni government owned na bila shaka benki ya ushirika itakuwa ya ushirika
 
Back
Top Bottom