Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

MoureenAbel

Member
Sep 24, 2021
29
43
Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache.

Mimi kama mwananchi wa kawaida yaliyonikosha zaidi ni:

1. Kuleta chanjo ya UVIKO-19 ambayo pamoja na mengi imefungua sekta ya utalii kwa watalii kuona nasi ni salama kutembelewa.

2. Ujenzi wa madarasa 15,000

3. Ujenzi wa vituo vya afya na uimarishaji wa sekta za afya

4. Kufungua fursa za kibiashara kutokana na ziara kwenye nchi mbalimbali duiani

5. Kuimarisha Demokrasia, hii bila kusahau hotuba yake Umoja wa Mataifa.

6. Uhuru wa kuzungumza na vyombo vya habari.

7. Uteuzi wa wanawake kwenye nyadhifa mbalimbali..

MAMA AMEUPIGA MWINGI SANA.. MUNGU AMSAIDIE
 
Umetumwa nini! Hakuna lolote.

Ngoja ni kwambie kitu naona hujui kitu

1: Kama kiongozi mkubwa lazima uoneshe mipango ya muda mfupi na mipango ya muda mrefu! Swali mipango ya muda mrefu kwa nchi alionayo huyu mama ni ipi?

2: Huyu ni Rais kwa hitaji wa katiba siyo Rais kwa uhitaji wa Watu! Kwa hiyo husije humu na hoja rahisi rahisi, wengi tukio humu ni great thinkers, tukioji sana utasema vinginevyo, yamaza mwanaharamu apite
 
Swadakta!
 
5. Kuimarisha Demokrasia, hii bila kusahau hotuba yake Umoja wa Mataifa.

6. Uhuru wa kuzungumza na vyombo vya habari.

HAPA BADO
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ametisha ukimlinganisha na Magofool? Mimi Magu hata Piere Liquid naamini kamzidi hekima na busara.
Samia anapiga bomu mochwari.

IMG_-qavw43.jpg
 
labda kakutisha wewe.....Ktk ulichokiandika....Point nimeiona hapo mwishoni tu....Mungu amsadie na amwongoze...hayo ni maombi mazuri
 
Umetumwa nini! Hakuna lolote.

Ngoja ni kwambie kitu naona hujui kitu

1: Kama kiongozi mkubwa lazima uoneshe mipango ya muda mfupi na mipango ya muda mrefu! Swali mipango ya muda mrefu kwa nchi alionayo huyu mama ni ipi?

2: Huyu ni Rais kwa hitaji wa katiba siyo Rais kwa uhitaji wa Watu! Kwa hiyo husije humu na hoja rahisi rahisi, wengi tukio humu ni great thinkers, tukioji sana utasema vinginevyo, yamaza mwanaharamu apite
Wewe ndo sifuri kabisa, sasa hapo umeeleza nini
 
Kupandisha tozo.
kupunguza mabando
kupokea chanjo
Kupokea hela za Corona.
Kuwatimua pole pole na bashiru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom