Rais Samia amefanya uzalishaji uongezeke, tutakaa sawa

Anna Nkya

Member
Oct 21, 2021
69
341
Ni hivi, hicho kipindi mnachosema umeme ulikuwa haukatiki, ulikuwa haukatiki majumbani. Japo pia tuwe wakweli kwamba ulikuwa unakatika lakini sio kwa kiwango hiki, lakini ULIKUWA UNAKATIKA.

Hata hivyo katika kipindi hicho, biashara nyingi zikiwemo VIWANDA zilifungwa. Watu walikuwa hawazalishi kwa ukubwa.

Kuna mengi yaliyokuwa yanafanywa na Serikali iliyopita kuwaminya wafabiashara wakubwa, uzalishaji wao ukapungua.

Hilo lilikuwa na faida ya muda mfupi, kama hiyo ya kusema umeme ulikuwa mwingi wakati huo.

Lakini pamoja na madhara ya kwamba miundombinu ilikuwa haitengenezwi na sasa ndio tunapata tabu, Kufanya uzalishaji viwandani upungue kulikuwa na madhara ya muda mrefu. Ajira zilipotea mnoo.

Rais Samia kaja, watu wamefungua viwanda vyao, uzalishaji umeonmgezeka. Unaongezeka huku miaka mitano iliyopita hatujaongeza uzalishaji wa umeme kwenye gridi yetu ya taifa.

Matokeo yake umeme umekuwa mchache.

TUWE WATULIVU KAMA TULIVYO, RAIS WETU ATAMALIZA HILI.
 
Tatizo Waafrica huwa tunawaona watawala miungu watu
Tunasifu na kuabudu watawala wakati maisha yao ni pesa yako wewe na mimi ambao ni walipa kodi.
Watawala hawajali maisha ya walipa kodi
Kila mtawala akiingia anaingia na wapambe wa kuwabadilishia maisha
Matumizi ya serikali na vyama ni makubwa mno
watawala ni wengi kuliko nzi
Punguzeni kuchagua na kuteua kila kukicha
Baraza la mawaziri kubwa mno
Wakuu wa mikoa wilaya vijiji na vitongoji hawa wote wanalipwa mishahara mikubwa for nothing
Wakurugenzi sijui vikatibu uchwara
Matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
Haya ndege reli ya umeme sijui bwawa la umeme maji tulikimbilia vitu vikubwa vidogo tu vimetushinda

Watawala muwe mnasikia sio kushupaza shingo
Mmekuwa na majivuno roho za visasi roho za maangamizi
Kwa ufupi nchi haina muelekeo
Elimu kwa walio wengi kwenye madaraka ni ya kuungaunga

Tuwekeze umeme wa upepo Gas solar kuna vitu vingine vimeshapitwa na wakati
Eti nchi nzima inategemea Grid ya Taifa kwa nini kila Mkoa usijitegemee
Hao wakurugenzi sijui wakuu wa mikoa wilaya kutwa ku&@tembeza
 
Mkuu kumbuka Rais samia ana miezi minane tangu awe Rais.....
Hebu twambie hicho kiwanda kipya kilichojengwa March na kufanya uzalishaji mkubwa hadi kupelekea umeme kuwa mdogo .... hahahahahaha
Au utupe orodha ya miradi iliyo anzishwa ndani ya miezi minane inayosababisha uzalishaji uzidi na umeme uwe mdogo......
 
Ni hivi, hicho kipindi mnachosema umeme ulikuwa haukatiki, ulikuwa haukatiki majumbani. Japo pia tuwe wakweli kwamba ulikuwa unakatika lakini sio kwa kiwango hiki, lakini ULIKUWA UNAKATIKA.

Hata hivyo katika kipindi hicho, biashara nyingi zikiwemo VIWANDA zilifungwa. Watu walikuwa hawazalishi kwa ukubwa.

Kuna mengi yaliyokuwa yanafanywa na Serikali iliyopita kuwaminya wafabiashara wakubwa, uzalishaji wao ukapungua.

Hilo lilikuwa na faida ya muda mfupi, kama hiyo ya kusema umeme ulikuwa mwingi wakati huo.

Lakini pamoja na madhara ya kwamba miundombinu ilikuwa haitengenezwi na sasa ndio tunapata tabu, Kufanya uzalishaji viwandani upungue kulikuwa na madhara ya muda mrefu. Ajira zilipotea mnoo.

Rais Samia kaja, watu wamefungua viwanda vyao, uzalishaji umeonmgezeka. Unaongezeka huku miaka mitano iliyopita hatujaongeza uzalishaji wa umeme kwenye gridi yetu ya taifa.

Matokeo yake umeme umekuwa mchache.

TUWE WATULIVU KAMA TULIVYO, RAIS WETU ATAMALIZA HILI.
Nishakwambia. .Sijawahi ona Anna mwenye mapepe kama wewe.

Hii sababu yako haiendani kabisa na Ya Waziri Makamba (Wanafanya Matengenezo ya mitambo) na Ya TANESCO (Maji yamepungua).
Au wewe unaishi wapi huko?.

Mtuache basi msituvuruge.

Embu tuambia hizo bidhaa zinazo zalishwa ziko wapo huko? Ikiwa kila kitu bei juu kuliko wakati wowote? . Nondo Juu. Tiles Juu, Cement Juu, Mafuta yote Juu. Hadi yeboyebo juu.

Punguza mapepe.
 
Ni hivi, hicho kipindi mnachosema umeme ulikuwa haukatiki, ulikuwa haukatiki majumbani. Japo pia tuwe wakweli kwamba ulikuwa unakatika lakini sio kwa kiwango hiki, lakini ULIKUWA UNAKATIKA.

Hata hivyo katika kipindi hicho, biashara nyingi zikiwemo VIWANDA zilifungwa. Watu walikuwa hawazalishi kwa ukubwa.

Kuna mengi yaliyokuwa yanafanywa na Serikali iliyopita kuwaminya wafabiashara wakubwa, uzalishaji wao ukapungua.

Hilo lilikuwa na faida ya muda mfupi, kama hiyo ya kusema umeme ulikuwa mwingi wakati huo.

Lakini pamoja na madhara ya kwamba miundombinu ilikuwa haitengenezwi na sasa ndio tunapata tabu, Kufanya uzalishaji viwandani upungue kulikuwa na madhara ya muda mrefu. Ajira zilipotea mnoo.

Rais Samia kaja, watu wamefungua viwanda vyao, uzalishaji umeonmgezeka. Unaongezeka huku miaka mitano iliyopita hatujaongeza uzalishaji wa umeme kwenye gridi yetu ya taifa.

Matokeo yake umeme umekuwa mchache.

TUWE WATULIVU KAMA TULIVYO, RAIS WETU ATAMALIZA HILI.
Jinga
 
Back
Top Bottom