Rais Samia amedhihirisha kuwa CCM imefilisika sera Kama alivyosema Mwl.JK. Nyerere

Nyerere was a great philosopher, ndo maana hadi umshawishi aku endorse kwenye nafasi ya urais haikuwa shughuli ndogo....
 
Hawa wanawake tunaishi nao majumbani ni vizuri siku ya uchaguzi tuwatengenezee Mazingira ya kuto toka nyumban.
 
Usichanganye Mambo wewe usio muelewa, tuhuma hutakiwa kuthibitishwa ili mtu ahukumiwe.CCM wenyewe kutokana na uroho wa Madaraka ndio walio unda hizo tuhuma dhidi ya Mtakatifu Lowasa ili achafuke asiweze kupata Urais Kama walivyo unda tuhuma hizi za sasa za Mbowe kuwa gaidi ili kuogopa KATIBA mpya. Lakini nakwambia KATIBA mpya mtainya tuu tena kupitia matundu yoyote mliyo nayo mtainyaaaaa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Ama kweli Msigwa alikuwa sahihi katika hili la kupima akili. Itabidi uwahi mapema katika vipimo vya akili mkuu kabla mambo hayajaaribika. Haiwezekani Chadema kuanzia kwa mwenyekiti taifa hadi wale wa kata wamuandame mh Lowasa kwa kusema kuwa alikuwa fisadi namba 1 nchi nzima. Mnyika mwenyew aliwahi kusema ana ushahidi wa kutosha kuhusu ufisadi wa Lowasa, afu ww leo uwabebeshe lawama CCM! Ama kweli kunya anye kuku, akinya bata...

images (7).jpeg
 
MSIGWA aliwahi kusema "Anaemuunga mkono Lowasa akapimwe akili". Baada ya miezi kadhaa viongozi wa Chadema akiwemo Msigwa mwenyew na hata ww unaeniuliza mimi mlimuunga mkono Lowasa katika uchaguzi mkuu. So kwa mujibu wa maneno ya Msigwa kati yang mimi na nyie Chadema ni nani mwenye kutakiwa kuwa na wasi wasi na akili zake!
Lowassa yupo wapi leo?Lowassa aliingia CDM 2015 alipopokwa Urais na mnaye huko na CDM walishafunga hivyo chapter ya Lowassa.
Mliuonaje muziki wa Mh. Lissu(Rais wetu aliyejinusuru na kifo,kama siyo NEC-CCM,POLICCM,TISSCCM tungekuwa tunaongea mengine!
Mama atauweza?
 
Yeye mwenyewe Samier hana dira yoyote ya uongozi, anajiendea endea tu ili mradi siku zipite ifike 2025.

Ndio maana wahuni wanamuandalia events zisizo na kichwa wala miguu.
Mkuu hao unaofikiri kuwa wana dira, si unaona wameshindwa hata kusimamia misingi ya vyama vyao. Haiwezekani mwenyekiti ana zaidi ya miaka 15 katika uongozi wa chama, na tayari ameshapokea mamilioni ya shilingi kutoka kwa Sabodo plus michango mbali mbali wanayochangisha wanachama, hapa sijazungumzia misaada ya wafadhili wao na ruzuku ya mamilioni ya shilingi waliyokusanya kwa zaidi ya miaka 15 lkn ameshindwa hata kujenga ofisi ya makuu ya chama. Pia ameshindwa kuwafunda vijana ili waje waongoze taifa letu baadae, badala yake anavizia uchaguzi ukifika mtu atakaetemwa na CCM ampe chochote na kugombea uraisi nk.
 
Lowassa yupo wapi leo?Lowassa aliingia CDM 2015 alipopokwa Urais na mnaye huko na CDM walishafunga hivyo chapter ya Lowassa.
Mliuonaje muziki wa Mh. Lissu(Rais wetu aliyejinusuru na kifo,kama siyo NEC-CCM,POLICCM,TISSCCM tungekuwa tunaongea mengine!
Mama atauweza?
Unamzungumzia Lisu huyu ambae ameshindwa kuwashawishi watanzania wachague wabunge hata watatu wa chama chake au Lisu yupi? Look bro... Mwaka 2005 Chadema ilimsimamisha Mbowe agombee uraisi, japo aliangukia pua lkn ushawishi wake ulisababisha chama chake kipate wabunge zaidi ya 20. Mwaka 2010 kikampitisha dr Slaa agombee uraisi, vile vile japo alishindwa kupenya lkn alikiletea chama chake wabunge zaidi ya 50. Mwaka 2015 mkaazima mgombea wa CCM mh Lowasa na yeye alijaribu kufanya kile alichofanya kwa kuwaletea wabunge ambao hamkuwahi kupata toka chama chenu kianzishwe, ila kwa upande wa uraisi alishindwa japo kwa kura ndogo. Mwaka 2020 mkampitisha mbeleji wenu ndugu Lisu agombee matokeo yake kila mtu anajua. Ilikuwa ni aibu kwa jamaa kugalagazwa yeye na wagombea wake wa ubunge wote. Hii ikamfanya yeye mwenyew atorokee Ulaya kujificha baada ya kuona aibu kuendelea kubaki nchini. Hizo chaguzi zote ninazokwambia tume ilikuwa ni ile ile mnayosema sio huru miaka yote, wasimamizi ni wale wale na polisi ni wale wale, ila Lisu tu ndio aliangukiwa na jumba bovu kwa vile hakuwa na ushawishi wa kuwashawishi watanzania kama walivyofanya kina Mbowe, Slaa na Lowasa.
 
Hii huonesha puto limejaa upepo pavumapo upepo.

TIME HEALS ALL WOUNDS
 
Tupo kwenye crisis kubwa sana. An average man hawezi elewa hili.
Imagine 2021 mtu anawaza uchaguzi 2025 serious!?
 
Mwl.JK.Nyerere ktk moja ya hotuba zake kuhusu Chama gani au Nani anafa kuchaguliwa kuwa kiongozi alituasa wana wa nchi ya Tanganyika kuto wachagua watu walio filisika SERA.

Nyerere anasema watu hao kwa kuwa hawana sera na Agenda za Maendeleo kwa wananchi, na wanajua kuwa hawakubaliki hutumia fyoko fyoko za kuwagawa watu.

Mtu anapo sema kuwa atachaguliwa uchaguzi ujao kwa kuwa yeye ana jinsia ya kike na anaomba watu wa jinsia yake wamuunge mkono ni fedheaha kubwa Sana kwa taifa Kama hili ambalo liliheshimika Afrika na duniani kwa ujumla.

Kama ameweza kueleza utopolo huu hadharani kwa watu wenye Akili tunaona hawezi kushindwa kuweka mtandao wa kuungwa mkono kidini, au kikabila kwa Wazanzibari wenzake wamuunge mkono kwakuwa Sasa wao wanatawala Watanganyika.

Ubaguzi wa namna hii haufai kufumbiwa macho Wala kuchekewa hata kwa sekunde moja na watu wenye Akili. Watu wenye Kariba ya namna hii hawashindwi kuwasingizia wenzao kesi za Ugaidi ili yeye na genge lake watawale kwa mabavu.

Mwenzio alituletea Mambo ya ukabila na ukanda na wewe unaleta Mambo ya kike kike. Wanaume huwa hatupendi Mambo ya kike kike sijui watupata uzuri bibie.

Haya yaliyo semwa na Rais yangesemwa na chama kingine fyoko fyoko zake zingekuwa si za kawaida. Mtu huyo angepimwa mkojo mpaka kupekuliwa nyumbani kwake kuwa anatumiwa na watu wasio litakia mema taifa hili.

Sisi wangoni toka Uhuru upatikane hatujawahi toa Rais mnaonaje na sisi Sasa tuweke agenda yetu kuwa uchaguzi ujao iwe jua iwe mvua Rais lazima awe Mngoni?

CC Mataga
Hawa jamaa bila msaada wa tume ya uchaguzi na polisi watawekwa chumba cha makumbusho 2025.
 
Unamzungumzia Lisu huyu ambae ameshindwa kuwashawishi watanzania wachague wabunge hata watatu wa chama chake au Lisu yupi? Look bro... Mwaka 2005 Chadema ilimsimamisha Mbowe agombee uraisi, japo aliangukia pua lkn ushawishi wake ulisababisha chama chake kipate wabunge zaidi ya 20. Mwaka 2010 kikampitisha dr Slaa agombee uraisi, vile vile japo alishindwa kupenya lkn alikiletea chama chake wabunge zaidi ya 50. Mwaka 2015 mkaazima mgombea wa CCM mh Lowasa na yeye alijaribu kufanya kile alichofanya kwa kuwaletea wabunge ambao hamkuwahi kupata toka chama chenu kianzishwe, ila kwa upande wa uraisi alishindwa japo kwa kura ndogo. Mwaka 2020 mkampitisha mbeleji wenu ndugu Lisu agombee matokeo yake kila mtu anajua. Ilikuwa ni aibu kwa jamaa kugalagazwa yeye na wagombea wake wa ubunge wote. Hii ikamfanya yeye mwenyew atorokee Ulaya kujificha baada ya kuona aibu kuendelea kubaki nchini. Hizo chaguzi zote ninazokwambia tume ilikuwa ni ile ile mnayosema sio huru miaka yote, wasimamizi ni wale wale na polisi ni wale wale, ila Lisu tu ndio aliangukiwa na jumba bovu kwa vile hakuwa na ushawishi wa kuwashawishi watanzania kama walivyofanya kina Mbowe, Slaa na Lowasa.
Unazunguzia uchaguzi gani uliofanyika wew kibwetele mkiwa na kura ktk mabegi yenu na kuengua wapinzani wote

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Bahati nzuri ni kuwa 2015 wala mbowe hakutaka kugombea urais, aliyetaka urais mnaye huko huko ccm na mmempa ubalozi
Kwahiyo uliona ni sawa kwa wafia chama waliojiunga chama hicho miaka zaidi ya kumi iliyopita kumpigia deki mtu aliejiunga chaman wiki mbili na kupewa ridhaa ya kugombea uraisi kwa masilahi ya mwenyekiti na genge lake?
 
Mwl.JK.Nyerere ktk moja ya hotuba zake kuhusu Chama gani au Nani anafa kuchaguliwa kuwa kiongozi alituasa wana wa nchi ya Tanganyika kuto wachagua watu walio filisika SERA.

Nyerere anasema watu hao kwa kuwa hawana sera na Agenda za Maendeleo kwa wananchi, na wanajua kuwa hawakubaliki hutumia fyoko fyoko za kuwagawa watu.

Mtu anapo sema kuwa atachaguliwa uchaguzi ujao kwa kuwa yeye ana jinsia ya kike na anaomba watu wa jinsia yake wamuunge mkono ni fedheaha kubwa Sana kwa taifa Kama hili ambalo liliheshimika Afrika na duniani kwa ujumla.

Kama ameweza kueleza utopolo huu hadharani kwa watu wenye Akili tunaona hawezi kushindwa kuweka mtandao wa kuungwa mkono kidini, au kikabila kwa Wazanzibari wenzake wamuunge mkono kwakuwa Sasa wao wanatawala Watanganyika.

Ubaguzi wa namna hii haufai kufumbiwa macho Wala kuchekewa hata kwa sekunde moja na watu wenye Akili. Watu wenye Kariba ya namna hii hawashindwi kuwasingizia wenzao kesi za Ugaidi ili yeye na genge lake watawale kwa mabavu.

Mwenzio alituletea Mambo ya ukabila na ukanda na wewe unaleta Mambo ya kike kike. Wanaume huwa hatupendi Mambo ya kike kike sijui watupata uzuri bibie.

Haya yaliyo semwa na Rais yangesemwa na chama kingine fyoko fyoko zake zingekuwa si za kawaida. Mtu huyo angepimwa mkojo mpaka kupekuliwa nyumbani kwake kuwa anatumiwa na watu wasio litakia mema taifa hili.

Sisi wangoni toka Uhuru upatikane hatujawahi toa Rais mnaonaje na sisi Sasa tuweke agenda yetu kuwa uchaguzi ujao iwe jua iwe mvua Rais lazima awe Mngoni?

CC Mataga
Mtoeni Jenista Mhagama, mwanamke
 
Ni kweli kabisa bana. Wanaume wa Tanganyika wengi hatupendagi mambo ya kike kike. Huyu mama sijui walimtoa wapi. She's a total fiasco if not a nightmare come true like Sarah Palin, running mate of John McCain. Only difference is, Sleepy Eyes got thrusted into the presidency by fate alone. OTHER THAN THAT, SHE WAS A SIMPLE CEREMONIAL FIGURE WHO WOULD HAVE FADED INTO OBLIVION LIKE REST OF HER PREDECESSORS.
 
Back
Top Bottom