Rais Samia ameahidi kuendelea kuwapa nafasi za uongozi wanawake wengi zaidi katika serikali anayoiongoza ili kufikia lengo la 50 kwa 50

Huyu mama ata anapoongea anaonekana tu aidha aamini kama ni Rais mwenye mamlaka kamili au amaanishi kile ambacho anaongea hyo 50/50 imewezekana wapi au nchi gani hapa Duniani kuna 50/50 ? haya mpk sasa ameshafanya teuzi ngapi hao wanawake ni wangapi? Amekuwa ni muongeaji sana kuliko vitendo
Mbona weye hujiamini na Kiswahili chako.
Ata = hata
aamini = haamini
amaanishi = hamaanishi
IMG-20210524-WA0002.jpg
 
Teh teh teh! Naona ana uzungu mwingi sana mama na huenda ni kwa vile amefanya ktk NGOs zao. Very unnurtured woman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom