Rais Samia alikosea Mwanzo hawezi kurekebisha kwani tayari ameshaharibu

Kabisaaaa. Hata mimi nionavyo ni kwamba,akijaribu kugombea mwaka 2025, ni sawa kabisa na kuuza chama tena kwa bei ya kutupa.
Mwaka 2025 wangemtafuta mtu mmoja ngangali, Mzalendo wa kweli, mwenye uthubutu na maono, vinginevyo CCM inakwenda kufia mikononi mwake.
Ingekufa 2020.
 
Mataga muda wenu umekwisha, move on badala ya kuendelea kulia lia tu.
Hilo ndiyo kosa lenu kubwa kuona eti Make Tanzania Great Again mnaona eti ulikuwa mpango mbaya kiasi kwamba mnamwaminisha Mama eti hao ni wafuasi wa falsafa mbaya wakati wananchi waliipenda Tanzania mpya. Na mkamdanganya Mama achome masoko (kariakoo, mwenge, mbeya etc) eti akija kujenga watu wataona kawajali wakati inajulikana mpango wa Mliomuambia wa kuwavuruga wananchi then atafute suluhisho yeye mwenyewe, juzi kasikika eti anaongea na wafadhili waje wajenge miundombinu wa machinga, yaani akope ili kujenga masoko ya machinga??? Kila machinga anamuona Mama hayupo sahihi kwa sababu tulishaambiwa na Dkt Magufuli nchi hii tajiri na hakuna haja ya kuwatoza watu tozo, ila yeye kadanganywa
 
Lini Tanzania ilikuwa Great?

Kwa sasa hakuna mtu wa aina hiyo...CCM pia haiwezi kufa...2025 Samia atagombea na atashinda Kati ya 50 na 57 percent ya wapiga kura...lakini wapiga kura hao watakuwa chini ya asilimia 40 ya waliojiandikisha ...kutakuwa na election apathy...wengi hawatakwenda kupiga kura....
Serikali ya sasa imefanya makosa kadhaa ambayo yataigharibu...Kwanza ni tamko la rais siku chache baada ya kifo Cha JPM kuwa sasa anafungua nchi...that was a mistake...hakukuwa na haja ya kutoa kauli ya aina ile...pili ni suala la Corona..a number of Tanzanians in milions bado wanamuona JPM alikuwa sahihi katika mikakati dhidi ya Corona...tatu ni teuzi za watu Kama akina Makamba ambao walikuwa against JPM...nne ni kampeni dhidi ya kundi linaloitwa Sukuma gang...Kwanza kundi Hilo halipo it is a myth lakini watu wanaaminishwa Kuna kundi Kama Hilo...wasukuma wenyewe wamekaa tuli hawasemi kitu lakini ikumbukwe wasukuma nchi nzima wako zaidi ya milioni 15...tano ni suala la Bandari ya Bagamoyo...sita suala la sukari na controversial statements zinazotolewa...Saba ni suala la machinga..nane ni mfumuko wa Bei ...Tisa ni matajiri ambao wameanza kujinafasi kwa kutamba huku na kule...kumi ni suala la Muungano ambapo wabara wengi wameanza kuhoji masuala Kama ya ardhi inakuwaje wazanzibari wamiliki ardhi bara lakini wabara wakataliwe kule Zanzibar..pia ajira ya wazanzibari huku bara...
Kimsingi zipo nyufa nyingi mno kitaifa
Ni maoni yako ila yote ni nadharia ukiambiwa uthibitishe huwezi. Muache raisi afanye kazi hata kama ana mapungufu yake tumsahihishe sio kukosoa tu, tukubali Magufuli ame rehemika tuendelee na kazi. Hakuna kita kacho tokea we zoea tu. Ni heccups.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Hatimaye umerudi mwimba pambio wa enzi zile, mini kemekuibua, au hatua za kupambana na wanahujumu enzi mpya🤔.
 
Ni maoni yako ila yote ni nadharia ukiambiwa uthibitishe huwezi. Muache raisi afanye kazi hata kama ana mapungufu yake tumsahihishe sio kukosoa tu, tukubali Magufuli ame rehemika tuendelee na kazi. Hakuna kita kacho tokea we zoea tu. Ni heccups.
Sawa....ila maoni yako inaelekea siyo nadharia isipokuwa yangu...interesting
 
Mama Samia aliianza kutawala vizuri kwa haki, alikosea baada ya ama kwa kutaka, au kulazimishwa kutawala kwa mfano wa Magufuli. Matokeo yake amejikuta hawezi kutawala kama Magufuli maana yeye sio muovu kama Magufuli, na hawezi kutawala kama yeye maana amekubali kuiga tabia asizoziweza. Bado hajachelewa, atawale kwa haki maana serekali hii haiko madarakani kwa ridhaa ya umma, bali kwa kiburi cha madaraka cha Magufuli
ona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
 
Kama CCM ingekuwa inatagemea kura yako au kura halali, leo hii isingekuwa madarakani.

ccm chini ya JPM ilikua inaungwa mkono na wananchi wengi sana, hata mngepiga kura mwaka mzima kulikua hamna namna mnashinda ule uchaguzi, mengi yalitokea lakini bado kulikua hamna namna mnashinda, CCM ya mkapa pamoja na JPM ndo ccm nlizojivunia sana kua mwana CCM, Japokua kuitoa ccm hata mkiungana vyama vyote hamtaweza kuitoa sio kwa sababu wanaiba kura ila ccm wapo wengi sana nadhan ni chama cha 8 ama 7 duniani saaahv
 
Nadhani kuna washauri wanaompa ushauri wa ajabu ili kumpoteza, tatizo la wabongo
JamiiForums1523041419.jpg
 
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Nani ana shida na kura za machinga na nyie wapiga Domo wa mijini?

Huku Vijijini watu wanamshukuru Rais kwa barabara,madaraja,vituo vya afya ,shule nk

Ukienda Vijijini story ni tofauti na za kwenye mitandao na mijini.Hivi mtoa mada ukifuatilia logic ya Jenerali Ulimwengu aliposema alikataa kuwa DC mjini bali alitaka Wilayani,ulimielewa?

Rais hana haja ya kuhangaika Sana na nyie machinga na wapuuzi wengine wa mjini yeye ana deal na watu wa Vijijini na wanawake, watumishi na watu wanaopenda biashara na wasanii..

Haya makundi yatamfanya apite kilaini tuu 2025,hutaki acha.
 
ccm chini ya JPM ilikua inaungwa mkono na wananchi wengi sana, hata mngepiga kura mwaka mzima kulikua hamna namna mnashinda ule uchaguzi, mengi yalitokea lakini bado kulikua hamna namna mnashinda, CCM ya mkapa pamoja na JPM ndo ccm nlizojivunia sana kua mwana CCM, Japokua kuitoa ccm hata mkiungana vyama vyote hamtaweza kuitoa sio kwa sababu wanaiba kura ila ccm wapo wengi sana nadhan ni chama cha 8 ama 7 duniani saaahv

Ule uporaji wa uchaguzi haukufanyika kwa bahati mbaya, bali uwezekano wa CCM kushinda kama alivyotaka Magufuli haukuwepo na wala haitakuwa uwepo tena. Ni kweli Magufuli angeweza kushinda kihalali, lakini ungekuwa ni ushindi mwembamba sana, na huko bungeni ccm haikuwa na uwezo wa kufikia 2/3 ya wabunge ya kuwafanya kupitisha chochote watakacho. Na sio wakati huo tu, ni kuwa kwa sasa uwezo wa CCM kushinda zaidi ya 50% haupo tena maana ccm sio chama cha kizazi hiki. Hutaki jinyonge.
 
Back
Top Bottom