Rais Samia alikosea Mwanzo hawezi kurekebisha kwani tayari ameshaharibu

Kabisaaaa. Hata mimi nionavyo ni kwamba,akijaribu kugombea mwaka 2025, ni sawa kabisa na kuuza chama tena kwa bei ya kutupa.
Mwaka 2025 wangemtafuta mtu mmoja ngangali, Mzalendo wa kweli, mwenye uthubutu na maono, vinginevyo CCM inakwenda kufia mikononi mwake.
ccm Hata wakimsimamisha Obama tume ikawa huru saa mbili asubuhi Mbali watu mtaaani wanashanglia kuanguka kwa ccm waongeze mbinu za wizi wa kura
 
Back
Top Bottom