Rais Samia alalamika maneno yake kugeuzwa juu chini, awapa viwanja wachezaji Twiga Stars kwa kutwaa kombe la COSAFA

Mheshimiwa asiwalaumu watu kwa kugeuza maneno yake, ajaribu kunyoosha maneno yake. Apunguze uswahili na maneno ya barazani.

Nafasi ya Urais ni kubwa sana, kauli ya Rais inabidi kueleweka kirahisi na hata mtoto mchanga. Nilimkosoa hata Magufuli kwa kutumia Kisukuma katika hotuba zake kwa sababu hiyo hiyo.

Natoa ushauri huu kwa heshima kubwa niliyonayo ya Taasisi ya Urais.
 
Rais akosei sio, Viongozi hujishusha kwa wanaowaongoza. Lakini huwezi kuona watawala kukubali kukosea na kuomba msamaha kwa wanaowatala , kwao msamaha ni msamiati mgumu sana . Magufuli kakuaribu Samia.
Mwanamke wa pwani wewe , unataka kujipachika Urundi wa Magufuli pasi na maana yeyote. Kwa nini Samia.
Shika adabu yako we ngedere
 
Back
Top Bottom