Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Jamaa yenu alikuaga na roho mbaya Sana,kayanyima matangazo magazeti yanayomkosoa then akayapa matangazo magazeti ya musiba yenye thamani ya tsh.100mil.

Ile kichwa ilikua na shida Sana.
Akili zako kama za wasanii wa Tanzania badala ya kutafuta gigs za kuuza sanaa zao; wako busy kutafuta ubalozi na makampuni walipwe.

Sasa ulienda kuimba upate ubalozi au uuze sanaa. Mbona wasanii wa nchi za wengine awategemei matangazo?

Ndio magazeti wewe badala ya kutafuta habari uuze gazeti, wameajiri watu wavivu wasiotaka kutafuta habari wao wanakaa maofisini mpaka waitwe kwenye posho na mtu matokeo yake nakala hazina na mvuto (maana kila mtu anaandika kitu icho icho) sasa kwanini tushangae hao watu kutegemea income kutoka serikalini.

Anyway sio wao tu in short watanzania ni watu tegemezi, wafanyabiashara watalaumu import. Hivi kwenye sukari nako wakulima wa Zambia na Uganda nao wanapewa ruzuku ndio maana yao inakuwa rahisi kushinda ya kwetu.

Hii ndio culture Magufuli aliyokuwa anataka kuifuta jipange, kwenye jambo lako usitegemee serikali ikufanyie yule mzee alikuwa bepari kweli.
 
Hapana yule mzee siyo wa BBC, aliyesimama kuuliza swali upande wa BBC ni mwanamke. Yule atakuwa Sibuka
Ni Abdallah Majura alikuwa mwandishi wa BBC zamani na sasa anamiliki daladala za GEREZANI-TEGETA ndio kasema watu wanaipigania CCM lakini teuzi wanapata vijana tu!

Rais kashamjibu tayari kuwa kwa tafsiri ya kijana ni kuanzia 15-35 lakini kwa Tz hata zaidi ya 35 ni vijana na amewateua. Hata hivyo nafasi za uteuzi ni chache so hawezi kumteua kila aliyekipigania CCM.
 
Yepi hayo!???
Katazo la vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara ni lini rais atatengua zuio hilo ili vyama viendelee na shughuli zao kama awali.

Issue ya katiba mpya raisi ana kauli gani.

Baada ya kauli yake ya kuvitaka Vyombo vya habari vifunguliwe, ila bado hilo halijafanyika kwa 100% hivyo ni lini vyombo hivyo vitafunguliwa vyote. .
 
Back
Top Bottom