Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Kwamba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!

Lissu aliyekuja jknia mchana wa saa 7, akazunguka nchi nzima kutafuta kura jiwe aliyetaka kumwua akiwa yupo?

akaondokea jknia mchana na jiwe akamgwaya kwamba kajificha? Labda hujui maana ya kujificha.

kwamba serikali imeshindwa kumkamata alivokuja nchini? uko timamu? kama walikua na shida naye basi angekua ashakamatwa mda mrefu sana kabla hata hajaja nchini kukimbia kwake ni halali kwamba anajua kuna sehem kavuruga
 
Unayasoma wapi ya kuwa serikali ilishindwa kumkamata?

Wapi unaposoma walikuwa na shida naye?

Aliyevuruga anakuja mchana wa saa 7 jknia? Akagombea urais? Akakampeni nchi nzima 0800 - 1800 kila siku kwa miezi 2?

Akaondoka mchana kupitia jknia kuliko na maafisa uhamiaji wakamgongea passport yake kisheria?

Usiniwekee maneno mdomoni jombi kujipatia ajenda ya kusema.

Pata maji utulie uone wapi nilipoandika unayoyasema wewe au hata kama pako fyongo. Ukipaona niambie usipapaona hakiki tena utimamu wa akili yako.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Unayasoma wapi ya kuwa serikali ilishindwa kumkamata?

Wapi unaposoma walikuwa na shida naye...

yaaani ndo ulichomaanisha, unataka kuruka nn? we quote kla kitu mpaka unakufa wakati wengine wakiendesha nchi
 
yaaani ndo ulichomaanisha, unataka kuruka nn? we quote kla kitu mpaka unakufa wakati wengine wakiendesha nchi

Kuruka ndiyo kufanya nini ngedere pori wewe?

You quote?! What the heck?!

Weka hapa usiniwekee maneno uchwara yako mdomoni mwangu.

Ukiulizwa unayasoma wapi unayoyasema, una "quote word to word and onto." Kama huna funga mdomo wako!

"Acha maneno weka Muziki" -- Alisikika mwanamziki akiwaambia wakazi wa mbeya.
 
Anachotueleza Rais SSH
ni kwamba, Chadema watafanya mikutano ya hadhara Nkasi, ZAMBARAU watafanya Zanzibar (wanayo majimbo) na CCM watafanya nchi nzima (walipora uchaguzi). Hii ina tofauti gani na MAGUFULI kuogopa wapinzani? Sheria ya Vyama vya Siasa, ipo, itekelezwe.
 
Back
Top Bottom