cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,628
- 137,330
Huyo BIBI KIZEE hana ratiba maalumu zaidi ya kuzurura tu.
Kesho utashtukia kapanda ndege kakimbilia zenji.
Huyo BIBI KIZEE hana ratiba maalumu zaidi ya kuzurura tu.
Kesho utashtukia kapanda ndege kakimbilia zenji.
Maria Nyerere alitumia lugha ya kihuni sana,Mwendazake alikuwa anamsumbua kwenda kujaza vichwa kwenye kampeni zake tu
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Mzimu unazidi kukuchapa mpaka uchakae...Yule alikuwa siyo mtu, alikuwa 90% mnyama ndiyo maana hakuwa na busara.