Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia Suluhu Hassan halisi sasa ndio anajitokeza, baada ya kulembalemba na kuweka hadaa nyingi.

Inawezekana asifikie ngazi aliyofikia mtangulizi wake kwa yale mambo machafu kabisa; lakini dalili tayari zinaonyesha kwamba huenda akatia hasara kubwa zaidi, hasa kwa yale ya mambo ya muda mrefu, ambayo madhara yake hayaonekani kwa muda mfupi.

Huu uchumi anaojenga wa kutegemea watu toka nje ndio watujengee uchumi, na kusahau juhudi za wananchi wetu ndizo ziwe kipaumbele zaidi, huenda tukaleweshwa kwa mategemeo ya neema hizo za nje huku tukijisahau kwamba jukumu la maendeleo ya nchi yetu ni la wananchi wenyewe hapahapa nchini mbele zaidi, wakichagizwa tu na hao wanaokuja kuchuma mali hapa na kuzipeleka kwao.

Mama anafungua nchi, huku akiwafungia ndani wananchi wake na kuwasahau.
Mkuu ujengewe sanamu
 
Back
Top Bottom