Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

Pole sana. Utapona, na nakutakia asubuhi njema.
MATAGA wakijiuliza imekuwaje mambo ya maji na umeme kwa mpigo huku wakisahau kuwa zimebaki siku 9 tu akiba ya mafuta nayo iishe nchini pia😁😁😁
e0f159e6.jpg
 
Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani.

Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?

View attachment 2015320
Wasiwasi wangu n hizo za umeme zikianza, Daresalam to Dom siku mbili kufika, lakini zaidi bado tunasambaza umeme vijijini.
 
Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani.

Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?

View attachment 2015320
Waziri na rais hawajui kitu.
 
Hapo hakuna waziri,tumepigwa aise.sijui ilikuwaje akapewa dhamana ya wizara nyeti Kama ile daaah. Mama hapa ukweli umetuhuzunisha watanzania ....Basi tu!!
 
Hivi huyo utopolo makamba bado anadai ni scheduled maintanance!? Qumamae zao.
 
Back
Top Bottom