Tafadhali usitafakari Mheshimiwa! Utakuwa umenipiga na kitu kizito kichwani.Ha ha ha ha ha, wakati unatafakari omba mimi nami nisitafakari😀😀.
😂😂😂😂Kwakweli.Tafadhali usitafakari Mheshimiwa! Utakuwa umenipiga na kitu kizito kichwani.
wana roho mbaya sanaAfungulie xvideos,watu tuwe busy huko
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri na manaibu Waziri wahakikishe siri za serikali hazivuji kufika katika mitandao ya kijamii kama ambavyo imeendelea kuwa
Nukuu
'Imekuwa kama maradhi, document za Serikali tunazikuta mitandaoni, watu wanabishana huko mtu anaende kuchomoa document inapigwa picha inawekwa kwenye mtandao, kama mnabisha ushahidi ni huo, hii haipendezi na hakuna serikali inaendeshwa hivyo.
Serikali inatoka kwenye ofisi zetu inaingia kwenye mitandao, kudhibiti siri za Serikali, ziwe za siri 'classified' hata zile ambazo haziko 'classified', tunatakiwa mambo ya Serikali yaishie ndani ya serikali.''
Ameyasema hayo katika mazungumzo aliyofanya na mawaziri na manaibu Waziri aliwateua na kuwaapisha hivi karibuni
Pia Rais amewataka waende kuwa wasimamizi wazuri wa miradi ya serikali kwa
kuwa serikali ipo kwa ajili ya watubibie
Amesema wale kwa vipimo wasivimbiwe, huko siyo kuvujisha siri?Tayari ashavujisha siri
Wanataka,kama si kutuibia sisi waajiri wao,basi itakuwa wanataka kutuweka mateka wa maisha.Kwanini ziwe siri za serikali na wananchi kama waajiri hatutakiwi kujua kama jambo ni jema?
Haliwezi kukoma mpaka wakiri wenyewe ndio ni chanzo cha uvujaji huo na halijaanza leoRais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri na manaibu Waziri wahakikishe siri za serikali hazivuji kufika katika mitandao ya kijamii kama ambavyo imeendelea kuwa
Nukuu
'Imekuwa kama maradhi, document za Serikali tunazikuta mitandaoni, watu wanabishana huko mtu anaende kuchomoa document inapigwa picha inawekwa kwenye mtandao, kama mnabisha ushahidi ni huo, hii haipendezi na hakuna serikali inaendeshwa hivyo.
Serikali inatoka kwenye ofisi zetu inaingia kwenye mitandao, kudhibiti siri za Serikali, ziwe za siri 'classified' hata zile ambazo haziko 'classified', tunatakiwa mambo ya Serikali yaishie ndani ya serikali.''
Ameyasema hayo katika mazungumzo aliyofanya na mawaziri na manaibu Waziri aliwateua na kuwaapisha hivi karibuni
Pia Rais amewataka waende kuwa wasimamizi wazuri wa miradi ya serikali kwa kuwa serikali ipo kwa ajili ya watu
Haya majangiliWanataka,kama si kutuibia sisi waajiri wao,basi itakuwa wanataka kutuweka mateka wa maisha.