Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,

Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL
Mwandishi uko vizuri sana
 
Hasira za nini?

Wacha mama achanje mbuga wivu wa nini maendeleo ni ya Taifa sio Mama Samia

Nadhani una hulka ya kusifisia, kujikombakomba, kujipendekeza nk!! Hakuna uchumi wa nchi masikini unainuliwa katika miezi. Ingekuwa hivo, ungekuwa na nafuu ya kimaisha!! Je unayo kuliko miezi 8 tu iliyopita?? Nini hasa kimebadilika kuhusu kipato chako???

Ikiwa ni sahihi unavosema, basi JPM ndio responsible na mtazamo wako. Matokeo ya uchumi huchukua zaidi ya miezi 8!!
 
Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,

Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,

Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa

Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP

Business Insider Africa

Markets

Leaders

Careers

Lifestyle

Local Lifestyle

Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list

EMMANUEL ABARA BENSON

November 12, 2021 10:59 AM

[https://ocdn]

Poorest countries in Africa in 2021

The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund.

The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.

Out of 36 countries on the list, African countries dominate.

There are currently about 34 African countries on the World Bank and IMF's heavily indebted countries' list, according to data obtained by Business Insider Africa.

RECOMMENDED ARTICLES

TransportationUnited Airlines resumes serving hard liquor on flights ahead of the holiday travel season

PoliticsTrump privately conceded to Chris Christie that COVID-19 was a 'crisis' even as he publicly downplayed the risk: book

Tech-InsiderUS Navy pulls parts off an under-construction aircraft carrier to get USS Gerald R. Ford ready to deploy

Among the heavily indebted poor countries are: Ghana, TANZANIA, Ethiopia, Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Comoros Islands, Democratic Republic of Congo and Republic of Congo. Others include: Ivory Coast, Eritrea, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Tanzania, Togo, Uganda and Zambia.

The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund (IMF) which was launched in 1996. According to information obtained from the IMF fact sheet, the aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manag

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Awesome Samia
 
Mbona takwimu za tangu mwaka jana 2020 kipindi cha JPM?
 
Tatizo wa mwazo ametuacha kwa U$411Billions, halafu tunajisifia
Kama ulikuwa huna baiskeli na M MUNGU akakujalia kupata baiskeli leo .a lazima ushukuru na kujipongeza. Halikadhalika ukiwa unatumia kibatali miaka yote na leo ukafanikiwa kuingiza umeme wa REA , kweli ni lazima umshukuru M MUNGU na ujipongeze kwani hata watoto wako wanafunzi watapumzika na moshi wa kibatali wakisoma japo bado wakiwa katika nyumba ya nyasi.

Sioni kwanini tusijipongeze tukiwa wa 10 kati ya nchi 54, au mlitaka tuwe wa 54 ndio mtafurahi? Sielewi kwa wanaolalamika.
 
Business Insider Africa

Markets

Leaders

Careers

Lifestyle

Local Lifestyle

Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list

EMMANUEL ABARA BENSON

November 12, 2021 10:59 AM

[https://ocdn]

Poorest countries in Africa in 2021

The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund.

The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.

Out of 36 countries on the list, African countries dominate.

There are currently about 34 African countries on the World Bank and IMF's heavily indebted countries' list, according to data obtained by Business Insider Africa.

RECOMMENDED ARTICLES

TransportationUnited Airlines resumes serving hard liquor on flights ahead of the holiday travel season

PoliticsTrump privately conceded to Chris Christie that COVID-19 was a 'crisis' even as he publicly downplayed the risk: book

Tech-InsiderUS Navy pulls parts off an under-construction aircraft carrier to get USS Gerald R. Ford ready to deploy

Among the heavily indebted poor countries are: Ghana, TANZANIA, Ethiopia, Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Comoros Islands, Democratic Republic of Congo and Republic of Congo. Others include: Ivory Coast, Eritrea, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Tanzania, Togo, Uganda and Zambia.

The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund (IMF) which was launched in 1996. According to information obtained from the IMF fact sheet, the aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manag

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hata mzee wangu Bakhresa Anaongoza kwa madeni Afrika. Nasikia hata Marekani inaongoza duniani kwa madeni, sijui ni kiasi gani. Ila nimeambiwa hivyo.
 
Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,

Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,

Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa

Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP

64B5D381-A2FF-4147-99A0-11572969D276.jpeg

63136577-4F37-4B55-BE56-AE7B61EF6784.jpeg

33438F74-79F3-4395-AAE5-2C9CEF3D614E.jpeg
 
Back
Top Bottom